Mfano; Viongozi wa CHADEMA wanavyojirundikia Vyeo na Madaraka!

Mch. Msigwa ni;

{1}Mbunge

{2}Mjumbe wa Mkutano Mkuu
Chadema

{3}Mjumbe wa Baraza kuu
Chadema

{4}Mjumbe wa Kamati Kuu
Chadema

{5}Mwenyekiti wa Chadema
Mkoa

{6}Mwenyekiti wa Kanda
baada ya wagombea
wengine kuenguliwa!

{7}Waziri kivuli Maliasili na
Utalii.

{8}Mchungaji.

"RAISI APUNGUZIWE
MADARAKA, NA WAKUU WA
MIKOA PIA WANA VYEO VINGI
SANA WAPUNGUZIWE" by
Peter Msigwa 2015.

Sasa hapo wa kupunguziwa
ni yupi? Wapinzani
wanafanya siasa za ovyo
sana!!.

C&P
Ni ya kweli haya??
Naomba kujua vyeo alivyonavyo prof jumanne maghembe
 
Khasim Majaliwa
Mbunge
Waziri Mkuu
Katibu wa vikao vya serikali
Kiongozi wa Serikali Bungeni
Mwenyekiti Mawaziri
Mtendaji mkuu wa Serikali
Mjumbe Kamati Kuu CCM Taifa
Mjumbe Kamati CCM Mkoa
Mjumbe Kamati CCM Wilaya
Mjumbe Kamati Tendaji CCM Taifa
Mwenyekiti CCM Jimbo/Wilaya
Mwenyekiti Mfuko wa Maafa Taifa
etc...
Si kweli.
 
Mch. Msigwa ni;

{1}Mbunge

{2}Mjumbe wa Mkutano Mkuu
Chadema

{3}Mjumbe wa Baraza kuu
Chadema

{4}Mjumbe wa Kamati Kuu
Chadema

{5}Mwenyekiti wa Chadema
Mkoa

{6}Mwenyekiti wa Kanda
baada ya wagombea
wengine kuenguliwa!

{7}Waziri kivuli Maliasili na
Utalii.

{8}Mchungaji.

"RAISI APUNGUZIWE
MADARAKA, NA WAKUU WA
MIKOA PIA WANA VYEO VINGI
SANA WAPUNGUZIWE" by
Peter Msigwa 2015.

Sasa hapo wa kupunguziwa
ni yupi? Wapinzani
wanafanya siasa za ovyo
sana!!.

C&P
Ni ya kweli haya??
Maguf
Yeye ni Mlei kanisani kwake,
Mjumbe wa mkutano mkuu wa chama,
Mjumbe Halmashauri ya ccm (m),
Mjumbe kamati kuu ya chama,
Mjumbe ha,lmashauri ya chama (taifa),
Mwenyekiti wa baraza la Usalama la Taifa,
Mwenyekiti baraza la mawaziri,
Amiri jeshi mkuu
Rais wa nchi
Mwenyekiti wa EAC,
Mwenyekiti wa baraza la usalama maziwa makuu,
Mjumbe wa AU,
Mjumbe wa General Assembly ya UN
(Vingine nimevisahau)
 
Mch. Msigwa ni;
{1}Mbunge
{2}Mjumbe wa Mkutano Mkuu
Chadema
{3}Mjumbe wa Baraza kuu
Chadema
{4}Mjumbe wa Kamati Kuu
Chadema
{5}Mwenyekiti wa Chadema
Mkoa
{6}Mwenyekiti wa Kanda
baada ya wagombea
wengine kuenguliwa!
{7}Waziri kivuli Maliasili na Utalii.
{8}Mchungaji.

"RAISI APUNGUZIWE MADARAKA, NA WAKUU WA MIKOA PIA WANA VYEO VINGI SANA WAPUNGUZIWE" by Peter Msigwa 2015.

Sasa hapo wa kupunguziwa ni yupi? Wapinzani wanafanya siasa za maji ya chumvi
Ni shida
 
Back
Top Bottom