MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

Mtoa mada legeza ubongo kidogo
Swala la kodi lina create chain ndefu unachotakiwa kujiukiza tukilimbikiza kodi yote huko nn kitatokea??

Mfumuko wa bei hapa gharama za uzalishaji zitapanda viwandan kusababisha bei za bidhaa nazo kuongezeka coz unaelewa mashine zinahitaji mafuta ku-operate imagine

gharama ya unga nw ilivojuu kuongeza gharama za uzalishaji unatengeneza kitu gan??

Shifting of burden of tax payer hapa kuna watu wengne wataumia kwa niaba ya wenye hvo vyombo vya moto kwasababu kodi yao imeamishiwa kwenye mafuta so hata mama anaekanda chapati akinunua mafuta yenye hio kodi ilohamishiwa huku anakua amemlipia kodi yao ilohamishiwa huku

Sitoshngaa kuona wenye magar na boda boda wakifurahia hili coz kwao haina hasara tatzo kitakuja kwa wale maskin ambao tunaenda kuwapandishia gharana zao za maisha
Fungua ubongo zaid,,, mazao ya vyakula na uzalishaji asilimia ngapi zmepunguzwa???
 
Mkuu kwa hyo na sisi tuliokua mpitimbi tusio na magari..tuwalipie hixo gharama...maana machine zetu xa kusaga mahindi....
 
Mashine za kusaga majenereta mafuta ya taa jipangeni. Au kila risiti iwe inaandika reg number ya chombo .
 
Mtoa mada legeza ubongo kidogo
Swala la kodi lina create chain ndefu unachotakiwa kujiukiza tukilimbikiza kodi yote huko nn kitatokea??

Mfumuko wa bei hapa gharama za uzalishaji zitapanda viwandan kusababisha bei za bidhaa nazo kuongezeka coz unaelewa mashine zinahitaji mafuta ku-operate imagine

gharama ya unga nw ilivojuu kuongeza gharama za uzalishaji unatengeneza kitu gan??

Shifting of burden of tax payer hapa kuna watu wengne wataumia kwa niaba ya wenye hvo vyombo vya moto kwasababu kodi yao imeamishiwa kwenye mafuta so hata mama anaekanda chapati akinunua mafuta yenye hio kodi ilohamishiwa huku anakua amemlipia kodi yao ilohamishiwa huku

Sitoshngaa kuona wenye magar na boda boda wakifurahia hili coz kwao haina hasara tatzo kitakuja kwa wale maskin ambao tunaenda kuwapandishia gharana zao za maisha
Mkuu nimekusoma! Hoja yako inamashiko na wala si ya kubeza. Kinachotakiwa hapa sasa ni namna ambavyo TRA anaweza kuitekeleza pasipo kuathiri makundi au mifumo mingine ya uchumi. Mfano, kama wasipokuwa na tamaa ya kuweka makato makubwa, hilo halita jitokeza.

Nafikiri sisi kama wanajamvi tuendelee kupaza sauti zetu ili kiwango kitakachotozwa kisiweze kupelekea mfumuko wa bei na hivyo kupandisha gharama za maisha.
 
Nina imani msg zinasomwa humu ndani hao wanazozisoma wafikishe huu ujumbe bajeti ya kesho watoe kero ya wananchi hiyo Road licence na waweke kwenye mafuta itakuwa powa sana mungu ibariki Tanzania na viongozi wenye kuona kesho na kutoa kero za wananchi
Tunashukuru wamefikisha ujumbe. Tusubiri utekelezaji tu..
 
Kama mimi ningelikuwa ndo mkuu wa hii kaya Tanzania ningelifuta "Road Licence" mara moja! Sababu, inaikosesha serikali mapato halali na makubwa.

Leo nimetembelea machinjio ya magari mabovu nikiwa na rafiki yangu akitafuta vipuri kwa ajili ya daladala lake. Nimekuta daladala nyingi zimechinjwa, na zinauzwa kama vipuri kwa wahitaji.

Nilivyojaribu kudadisi, wengi wanachinja baada ya kushindwa kulipia Road License kutokana na kulimbikiza kutokana na ajari au gari kiharibika hivyo kuchelewa kilitengeneza kwa wakati na hivyo kujikuta deni la road license kuwa kubwa.

Nimejaribu kuumiza kichwa kuona hivi kama hiyo road license kama ingetozwa kwenye mafuta pekeyake, serikali yetu ingepata kiasi gani. Hapa kuna dereva wa siku nyingi katika daladala anasema, hutumia wastani wa lita 80 za mafuta kila siku. Sasa hebu tukokotoe kidogo, lita 80 kwa siku, kwa wiki itakuwa lita 560, kwa mwezi lita 2,240, na kwa mwaka ni lita 26,880 za mafuta kwa daladala moja katika hali ya kawaida.

Sasa, kama watu wa hazina na TRA wangekuwa na upeo wa kuunga mkono serikali katika kuhakikisha inapata mapato ya kutosha, hili ndo pendekezo wangepeleka kwenye wizara husika. Lakini, wapi wapowapo kama vile hawakuenda shule.

Sasa, tufanye TRA wakusanye shilingi 50 tu kwenye kila lita moja ya mafuta. Utaona kuwa, daladala letu linalotumia lita 26,880 za mafuta kwa mwaka litakuwa limechangia kodi ya shilingi 1,344,000/- ambayo haiumizi kichwa kwa mchangiaji!

Huu ni mfano halisi jinsi TRA na mifumo yake ya ukusanyaji kodi unavyoigharimu hii nchi kwa kuikosesha mapato! Hawana hata upeo wa kupambanua ipi kubwa kati ya shillingi 250,000/- ya road license na shillingi 1,344,000/- kama itatozwa kwenye mafuta.

Swali la kujiuliza, kwanini kung'ang'ana na mfumo unaoikosesha serikali mapato!

Ninawasilisha hoja!

UPDATE UPDATE UPDATE!!

WANAJAMVI JAMAA KAMA WAMETUSIKIA!
Road License yafutwa, sasa kulipwa mara moja

Amesema uamuzi umechukuliwa ili ada hii ilipwe mara moja pale gari linaposajiliwa na baada ya hapo iendelee kulipwa katika ushuru wa bidhaa katika mafuta ya petroli na dizeli.

wewe mchawi
 
Bonge la ushauri sema wasi wasi wangu kama Mafuta yakipanda bei (hata kwa shilingi 50) basi ujue unga, Mafuta ya kula, nyama, nauli, dagaa, maharage nakadhalika nakadhalika vitapanda bei... watakao umia ni tabaka la chini walio wengi.. PROBLEM ya nchi hii siasa imewekwa mbele na hata wateule wa dereva wa roli % kubwa ni mabashite kwa hiyo mawazo kama haya hawana labda wake kuiba humu JF
Wameiba bhana
 
JF ni zaidi ya ramli. hatujawahi kupemdekeza ama kudodosa jambo likakwama. hapa mnazi mrefu umepata mkwezi!
 
Ni ngumu. Hata ukichinga gari bado system inaendelea kusoma deni kwenye TIN yako. Utajikuta unadaiwa kwenye issue nyingine kwani TIN yako itakuumbua. Yamenikuta. Sijui kama kuna uwezekano wa kuomba TIN nyingine ili kukwepa madeni ya nyuma
Waziri husika amesamehe madeni ya road license miaka ya nyuma...
 
Hapa ndio unaweza kujionea kuwa serikali wanakosea sana kuajiri watu kwa kigezo cha ufaulu na vyeti tu wanasahau inshu ya efficiency, productivity, na creativity......

Serikali wangeweka utaratibu wa kuasses uwezo wa waajiriwa wao na si kukaa na mambumbu yanayovaa suti na kujiita masomi wakati tuna watu kama huyu mleta mada ambaye ametoa wazo zuri sana na pengine likifanyiwa kazi likaleta tija kubwa sana na faida mara mbili kwa taifa.

Hebu ifike wakati na sisi raia tuwe wakali kwa serikali kwenye maswala kama haya ambayo yanaonyesha ni ukosefu tu wa akili za ubunifu.....hao mambumbumbu waliokalia nafasi na hawazitendei haki watolewe mara moja wapishe vijana wenye damu changa na moto wa mabadiliko watumike kuliletea taifa maendeleo......

Naungana mkono na mtoa mada na ameleta wazo zuri sana kwenye meza na hii italeta tija kubwa sana kwenye mapato ya serikali.
Me kuna kitu nimekiona tofauti sijui kama ndo sielewi au imekaeje, hapo awali sheli zilikua zikiuza mafuta na serikali haitozi kwa kila litre au kiasi kinachouzwa? Nadhani hii iikuepo na kama basi ilikuepo ni bora wangeacha road license iendelee huku wakiwa wanakula pande zote mbili kuliko hii ya sasa ambayo ni kandamizi kwa wamiliki na hata final consumers
 
Kama mimi ningelikuwa ndo mkuu wa hii kaya Tanzania ningelifuta "Road Licence" mara moja! Sababu, inaikosesha serikali mapato halali na makubwa.

Leo nimetembelea machinjio ya magari mabovu nikiwa na rafiki yangu akitafuta vipuri kwa ajili ya daladala lake. Nimekuta daladala nyingi zimechinjwa, na zinauzwa kama vipuri kwa wahitaji.

Nilivyojaribu kudadisi, wengi wanachinja baada ya kushindwa kulipia Road License kutokana na kulimbikiza kutokana na ajari au gari kiharibika hivyo kuchelewa kilitengeneza kwa wakati na hivyo kujikuta deni la road license kuwa kubwa.

Nimejaribu kuumiza kichwa kuona hivi kama hiyo road license kama ingetozwa kwenye mafuta pekeyake, serikali yetu ingepata kiasi gani. Hapa kuna dereva wa siku nyingi katika daladala anasema, hutumia wastani wa lita 80 za mafuta kila siku. Sasa hebu tukokotoe kidogo, lita 80 kwa siku, kwa wiki itakuwa lita 560, kwa mwezi lita 2,240, na kwa mwaka ni lita 26,880 za mafuta kwa daladala moja katika hali ya kawaida.

Sasa, kama watu wa hazina na TRA wangekuwa na upeo wa kuunga mkono serikali katika kuhakikisha inapata mapato ya kutosha, hili ndo pendekezo wangepeleka kwenye wizara husika. Lakini, wapi wapowapo kama vile hawakuenda shule.

Sasa, tufanye TRA wakusanye shilingi 50 tu kwenye kila lita moja ya mafuta. Utaona kuwa, daladala letu linalotumia lita 26,880 za mafuta kwa mwaka litakuwa limechangia kodi ya shilingi 1,344,000/- ambayo haiumizi kichwa kwa mchangiaji!

Huu ni mfano halisi jinsi TRA na mifumo yake ya ukusanyaji kodi unavyoigharimu hii nchi kwa kuikosesha mapato! Hawana hata upeo wa kupambanua ipi kubwa kati ya shillingi 250,000/- ya road license na shillingi 1,344,000/- kama itatozwa kwenye mafuta.

Swali la kujiuliza, kwanini kung'ang'ana na mfumo unaoikosesha serikali mapato!

Ninawasilisha hoja!

UPDATE UPDATE UPDATE!!

WANAJAMVI JAMAA KAMA WAMETUSIKIA!
Road License yafutwa, sasa kulipwa mara moja

Amesema uamuzi umechukuliwa ili ada hii ilipwe mara moja pale gari linaposajiliwa na baada ya hapo iendelee kulipwa katika ushuru wa bidhaa katika mafuta ya petroli na dizeli.
C hivyo tu kiongozi, serikali sasa ina mpango wa wananchi wake wote kuwa na nyumba za umeme, hivyo ni fursa nyingine c tu kuongeza mapato ktk shirika la umeme ( TANESCO) lkn kupitia program hii ya wakala wa umemd vijijini na hata mjini. Serikali inaweza ikaziunganisha wizara ya nishati na ile ya ardhi kukusanya kodi ya ardhi kupitia Huduma ya umeme, hii huweza kufanywa kwa kutumia mita za LUKU hivyo kusaidia wizara ya ardhi kukusanya kodi hiyo bila taflani za foleni, malipo kwa watumishi pia na kuokoa muda.
 
Kama mimi ningelikuwa ndo mkuu wa hii kaya Tanzania ningelifuta "Road Licence" mara moja! Sababu, inaikosesha serikali mapato halali na makubwa.

Leo nimetembelea machinjio ya magari mabovu nikiwa na rafiki yangu akitafuta vipuri kwa ajili ya daladala lake. Nimekuta daladala nyingi zimechinjwa, na zinauzwa kama vipuri kwa wahitaji.

Nilivyojaribu kudadisi, wengi wanachinja baada ya kushindwa kulipia Road License kutokana na kulimbikiza kutokana na ajari au gari kiharibika hivyo kuchelewa kilitengeneza kwa wakati na hivyo kujikuta deni la road license kuwa kubwa.

Nimejaribu kuumiza kichwa kuona hivi kama hiyo road license kama ingetozwa kwenye mafuta pekeyake, serikali yetu ingepata kiasi gani. Hapa kuna dereva wa siku nyingi katika daladala anasema, hutumia wastani wa lita 80 za mafuta kila siku. Sasa hebu tukokotoe kidogo, lita 80 kwa siku, kwa wiki itakuwa lita 560, kwa mwezi lita 2,240, na kwa mwaka ni lita 26,880 za mafuta kwa daladala moja katika hali ya kawaida.

Sasa, kama watu wa hazina na TRA wangekuwa na upeo wa kuunga mkono serikali katika kuhakikisha inapata mapato ya kutosha, hili ndo pendekezo wangepeleka kwenye wizara husika. Lakini, wapi wapowapo kama vile hawakuenda shule.

Sasa, tufanye TRA wakusanye shilingi 50 tu kwenye kila lita moja ya mafuta. Utaona kuwa, daladala letu linalotumia lita 26,880 za mafuta kwa mwaka litakuwa limechangia kodi ya shilingi 1,344,000/- ambayo haiumizi kichwa kwa mchangiaji!

Huu ni mfano halisi jinsi TRA na mifumo yake ya ukusanyaji kodi unavyoigharimu hii nchi kwa kuikosesha mapato! Hawana hata upeo wa kupambanua ipi kubwa kati ya shillingi 250,000/- ya road license na shillingi 1,344,000/- kama itatozwa kwenye mafuta.

Swali la kujiuliza, kwanini kung'ang'ana na mfumo unaoikosesha serikali mapato!

Ninawasilisha hoja!

UPDATE UPDATE UPDATE!!

WANAJAMVI JAMAA KAMA WAMETUSIKIA!
Road License yafutwa, sasa kulipwa mara moja

Amesema uamuzi umechukuliwa ili ada hii ilipwe mara moja pale gari linaposajiliwa na baada ya hapo iendelee kulipwa katika ushuru wa bidhaa katika mafuta ya petroli na dizeli.
Hiyo ni lugha ya kuwaghilibu wajinga!
 
Je kwa wale ambao Grace period ys Road license zao zinaishia tarehe 18/June/2017 ;siku 12 zitakazosalia kabla ya tarehe 01/07/2017 hawatakamatwa barabarani?
 
Back
Top Bottom