Mfalme Zumaridi

Hivi mkuu hatuwezi kumpa kesi ya ugaidi huyu mfalme?
Waulize Polisi CCM-Walienda kumukamata Kanisani kwake wakawa wanazabwa vibao na watu wasioonekana(Makerubi wa Mfalme)mpaka wakatimua mbio...!Wakamfungulia kesi ya kuwazuia kutekeleza majukumu yao.
Kama kawaida ya ukurupukaji wa Polisi -CCM..Shitaka lilitupiliwa mbali....Wakili wa Mfalme alikuwa anakaba sana...ikawa ngumu kuyathibitisha majukumu ya Polisi wa CCM ndani ya Nyumba ya Mungu na PGO ikawa kimya....!!!
 
Aisee hiyo nguvu si atugawie yaani polisi wangejuta.
 
Hiyo naikumbuka vizuri alipewa mpaka kesi ya kusafirisha watu kinyume cha sheria yote hiyo ikiwa ni kukosa ushahidi wa moja kwa kumtia hatiani wakawa wanatafuta makosa bila kutumia akili
 
Hizi ndiyo Dini sasa..siyo Kila siku Tenzi za Rohoni na Utukufu kwa Mungu Juu..tu
-KIBAO..Muzinaa..Cha Mzee Mzima Tabu Key ni Raha tupu..na mkila Bata..

-Old is Gold -...
 
Ugalatia ni upumbavu wa kiwango cha lami, yaani mikondoo inafuata tu ujinga wowote mbele yao
 
Ugalatia ni upumbavu wa kiwango cha lami, yaani mikondoo inafuata tu ujinga wowote mbele yao
Wako njema wewe....Huoni hizo Suti na bling bling zingine,Soda na Juice za gharama.!!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…