Mfalme Zumaridi, Mama huyu ni nani na kwanini Serikali imemuacha tu?

Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume...
Hakuna siku nitarudi kisali kanisan katoriki ni bora nisiende kusali maana siwezi kwenda kumuabudu shetani live na akili zangu ,Kusali njia ya mslaba(wakati wa kwalesima),Rosali takatifu. Sitarudi never ever
 
‎Anaandika Mathew Mathayo‎

Kinachoonekana hapa, sio movie wala maigizo.
Hii ni halisi, huyu mama anayejiita mungu Zumaridi, huwa anaingiwa na Pepo mchafu, akishamwingia ndipo anaanza kuweweseka.

Kama uliwahi kuona movie za mazombi ndivyo Kanisani kwake, watu wote mpaka wapambe wake hugeuka mazombi.

Na anapokushika akakugusa kichwa anakuambukiza uzombi, nawe ukimshika mwenzako unamwambukiza uzombi hivyo hivyo mpaka Watu wote muwe mazombi, ndipo Pepo huyu ajiitaye mfalme Zumaridi, akiwa katika mwili wa mama huyu Diana, anaanza kuwahubiria.

Kumbuka mpaka uwe zombie ndipo utaweza kusikilizana naye, kila atachosema utaitikia tu
Utafanya tuu.

Wangapi walishaona ule wimbo wa Mike Jackson
Unaitwa The Thriller.
Basi wale mazombie ndio huwa hivi.

Na huyu mama, anadai kuwa
Mike Jackson yupo kwake mwanza pamoja na akina
Kanumba
Sharo Milionea
Albert Mangwea
Rais wa kwanza wa Marekani George Washington
Rais wa kwanza wa chini.
Adolf Hitler
Bob Marley
Lucky Dube
2Pac
Ruge Mutahaba
Ephrahim Kibonde
Fanuel Sedekia
Mwalimu Nyerere
Edward Sokoine
Na wengineo wengi
Akina Mez B, aliyeimba kikuku cha mama roda.
Amina Chifupa nk.

Anasema wapo kwake, ipo siku atawadhiririsha katika mwili wa nyama, wataonekana live.

Mpendwa kama waamini hili ni Pepo,
Sambaza video hii ziwafikie Watumishi Wa Mungu wa Kweli ili Kanisa liombe na kufunga kwa ajili ya Pepo huyu, anayepoteza Roho za Watu.

Yuko wapi Eliya wa Leo?
Apambane na Bahari na manabii wake?

Ni huzuni kuona Tapeli huyu anaachiwa uhuru huku akitesa Watu kwa kuwavika mapepo.

Share video hii, mtumie
Mchungaji wako naye pia
Askofu pia
Shemasi pia
Wazee wa kanisa pia
Wainjilisti pia
Na kila Mtu wa Mungu mwenye uchungu na Jina la Mungu wa Mbinguni.

View attachment 1235901
Nadhani mwezi mmoja, yaani wiki nne zimetosha serikali kubaini utapeli wake na kumfungia kutoa huduma zake jijini Mwanza.
 
Kachanganyikiwa huyu. Kinachonisikitisha ni kuona ana wafuasi kibao.
 
Kuna dada mmoja anafanya kazi uhamiaji hapo Mwanza, keshafanywa zuzu hadi amejitwika majukumu ya kulipia bill ya maji na umeme unaotumika kanisani na nyumbani kwa huyo anaejiita mungu wa zumaridi........lakini cha kushangaza eti ana mimba, sasa mungu anabeba mimba!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa aliemtia mimba mfalme sijui tumwitaje. anyway huyo ndio baharia
 
Back
Top Bottom