Mfalme wa oman asili yake Tanzania

Mfalme wa oman asili yake Tanzania

naona kumekuwa mada nyingi dhidi ya warabu ,mwangalie mfalme wao kabila lake ni al. busaid. kwa waliowahi kuishi kigoma ujiji kuna sehem inaitwa busaid na huko ndiko walipo toka mababu zake. Ukienda oman kuna mji unaitwa salalah huko utakuta watu wenye asili ya tanzania i mean black kama mnavyowaita waarab weupe hao wanamaisha mazuri kuliko hata wanaoishi muscut, na wao wanaaminika kuwa na utajiri 58% ya utajiri wa oman je swali kwa wanaowalani waarab lini tv yoyote ilionesha wanabaguliwa,na asieamini kama mfalme wa oman ni black unaweza tafuta picha yake kwenye google

Naomba nikusaidie huyu Qaboos asili ya upande wa mama yake ndio unatoka znz sio kigoma kijana'na watu wa salalah au wadhofar kama wanavyojulikana wengi wao ni asili ya pemba na hata kiswahili hawajui,ungesema muscat imejaa waswahili ningekubali'inakadiriwa kuwa zaidi ya 40%ya watu wa muscat na miji ya jirani kama Nizwa,Sur,Maabela,mpaka sohar ni waswahili,na heshima ya waswahili wa nchi ya oman ni kubwa sana'kwa sababu watu wenye kazi za maana ni waswahili,wenye elimu za uhakika,ni waswahili,wenye pesa ni waswahili,nikisema mswahili simaanishi mweusi,oman mtu yeyote mwenye asili ya Tz,au Kenya au Ug,anaitwa mswahili hata kama ni mweupe'
 


attachment.php



picture.php
​




picture.php
​


picture.php

​








hm_inside[1].jpg





119_17618_1256923529.jpg



​

​
 
naona kumekuwa mada nyingi dhidi ya warabu ,mwangalie mfalme wao kabila lake ni al. busaid. kwa waliowahi kuishi kigoma ujiji kuna sehem inaitwa busaid na huko ndiko walipo toka mababu zake. Ukienda oman kuna mji unaitwa salalah huko utakuta watu wenye asili ya tanzania i mean black kama mnavyowaita waarab weupe hao wanamaisha mazuri kuliko hata wanaoishi muscut, na wao wanaaminika kuwa na utajiri 58% ya utajiri wa oman je swali kwa wanaowalani waarab lini tv yoyote ilionesha wanabaguliwa,na asieamini kama mfalme wa oman ni black unaweza tafuta picha yake kwenye google

Sio kweli,

Sultan wa Oman ni Mwarabu aliotoka mji wa Adam huko Oman.

Kabila lake la Al-busaidi (Al saidi) ni watu wa Oman (Mji wao ni Adam).

Nani kakuambia asili ya Al Busaidi ni kigoma ?

Wafalme wenye asili ya Al Busaidi ni ma-Sultan wa Oman kwa miaka mingi sana toka enzi za Sultan Sayyid Said mpaka sasa.

Sayyid Said alikuwa Sultan wa Oman (1791–1856). Huyu (Sayyid Said) ni katika mababu zake Sultan wa sasa wa Oman (Qaboos Bin Said Alsaidi).
 
Busaid ya Kigoma ilitokana na waarabu hao hao. Kimsingi Busaid asili yake ni Uarabuni na si Kigoma. Jitahidi urejee kusoma historia utajua kuwa ni akina Tipp Tip walitoa majina ya kiarabu huko Kigoma. Hivyo usishangae kusikia Dar es salaam au Zanzibar, Zingbar kuwa na asili ya uarabuni. Hivyo maelezo ya mtoa mada si kweli. Na hata kama angekuwa na asili ya Mtwara au Kigoma bado ni mfalme wa Oman si mtanzania.
 
Back
Top Bottom