Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Vijana mtaishia jela kwa ushabiki wa kipumbavu kuweka photo shop kwa kiongozi anaeheshimika na taifa lake mpaka nje.
 
Nakujua mzee wa upaganini. Kuna mambo mengine yako very straight forward. Haihitaji beyond reasonable doubt kuelewa. Kwanza watazame hao wadada. Ni wazi kwa bashasha zao wako na mtu 'muhimu' sana. Hao wadada kwa muonekano tu heshima/haiba yao si ndogo. Wako na mjalme
Sasa mtu muhimu ni mmoja tu duniani?
 
Mbona hata JPM anakulaga bata tuu sema ndo vile kimya kimya camera hazijambasa
Maisha ni kuishi kwa uhuru wakati wa kazi ni kazi na bata ni bata
 
Sasa mtu muhimu ni mmoja tu duniani?
Kuna watu ni muhimu zaidi ya wengine. Hili halihitaji mjadala. Ok pengine siko sahihi kuhusu picha inayodhaniwa kuwa ni ya mfalme. Jambo lipi kinalokuthibitishia kuwa si yeye? Ukimuamini daktari umefikia ukomo wa kufikiri na hivyo kuwa mvivu?
 
Picha moja hiyo hiyo, pozi moja hilo hilo, sehemu moja hiyo hiyo imetengenezwa tofauti tofauti mara kibao na kusambazwa mitandaoni.

Halafu imetengenezwa kwa namna ya kwamba mtuvanayejua hizi habari za photoshop kuitambua si kazi.

Pia, namfuatikia mfalme wa Morocco na siasa zake.

Uwezekano wa hutu mfalme kuvaa t shirt ya msuba hauko mbali sana na uwezekano wa mtu kama Ali Hassan Mwinyi kuvaa T shirt ya msuba.

Huyu ni "Defender of The Faith" Morocco. Watu milioni 33 wanamuangalia kama mkuubwa nchi yao. Yeye hana kazi kubwa zaidi ya kutoa muonekano kwamba anaheshimika.

Kwa nini mtu kama huyo atake kumwaga ugali wake kwa kupiga picha za ajabu ajabu?

Kwani unafikiri moto wa Arab spring hajauona?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hio picha imetengenezwa tena na Mwanfunzi asiyejua vzuri ndio maana unaona hakuna uhusiano kati ya Miguu na eneo la kiwiliwili mpaka kichwani. Itz Photoshop material. Tujifunze kuheshimu viongoz wa mataifa ya wenzetu.
Kweli kabisa rangi ya kichwa na mwili viko tofauti pia ukubwa wa kichwa haiendani na mwili ebu jamani tuwaheshimu viongozi wetu.
 
Picha moja hiyo hiyo, pozi moja hilo hilo, sehemu moja hiyo hiyo imetengenezwa tofauti tofauti mara kibao na kusambazwa mitandaoni.

Halafu imetengenezwa kwa namna ya kwamba mtuvanayejua hizi habari za photoshop kuitambua si kazi.

Pia, namfuatikia mfalme wa Morocco na siasa zake.

Uwezekano wa hutu mfalme kuvaa t shirt ya msuba hauko mbali sana na uwezekano wa mtu kama Ali Hassan Mwinyi kuvaa T shirt ya msuba.

Huyu ni "Defender of The Faith" Morocco. Watu milioni 33 wanamuangalia kama mkuubwa nchi yao. Yeye hana kazi kubwa zaidi ya kutoa muonekano kwamba anaheshimika.

Kwa nini mtu kama huyo atake kumwaga ugali wake kwa kupiga picha za ajabu ajabu?

Kwani unafikiri moto wa Arab spring hajauona?
Nilidhani una ushahidi beyond reasonable doubt kuwa si yeye. Hauko mbali na mimi kuamini katika ninachokiona kulingana na muonekano wa picha ( japo yaweza kweli kuwa sio). Unadhani ni kwa nini picha hii imekuja wakati huu? Aliyeitengeneza hajipendi au hawahofii hao waarabu wenye msimamo mkali?
 
Kiranga, labda kama unaongelea picha nyingine lakini hiyo ya Shati la bangi kifuani its genuine, chanzo chetu ni sisi wenyewe (ipo kwenye camera) pale Mercury kwenye club ya Simai Mpakabasi, mjumbe wa BLW (CCM), Tunguu. Alikuwepo, akanywa bia Mbili za "Ndovu" akiwa kavaa Shati lake la bangi na akamgawia mhudumu aliyemletea bia mbili tip ya $100 akiwa amevaa shati hilo hilo la bangi. Ushahidi ni sisi wenyewe na camera yetu ambayo ipo, wahudumu wa mercury pub akiwemo aliyepewa hiyo $100 tip, hao akina dada ambao majina yao yapo, wafanyakazi wengine wa mercury akiwepo mmiliki Mh Simai Mpakabasi na wateja wengine kadhaa.
 
Jaman mm nina wasi wasi hii ni photoshop kwa kweli. Naona haiwezekani kabisa. Maana naona na mama mange kimambi kaposti
 
Huyo mbona kawaida yake! Hapo akiwa paris
images.jpg
 
Picha moja hiyo hiyo, pozi moja hilo hilo, sehemu moja hiyo hiyo imetengenezwa tofauti tofauti mara kibao na kusambazwa mitandaoni.

Halafu imetengenezwa kwa namna ya kwamba mtuvanayejua hizi habari za photoshop kuitambua si kazi.

Pia, namfuatikia mfalme wa Morocco na siasa zake.

Uwezekano wa hutu mfalme kuvaa t shirt ya msuba hauko mbali sana na uwezekano wa mtu kama Ali Hassan Mwinyi kuvaa T shirt ya msuba.

Huyu ni "Defender of The Faith" Morocco. Watu milioni 33 wanamuangalia kama mkuubwa nchi yao. Yeye hana kazi kubwa zaidi ya kutoa muonekano kwamba anaheshimika.

Kwa nini mtu kama huyo atake kumwaga ugali wake kwa kupiga picha za ajabu ajabu?

Kwani unafikiri moto wa Arab spring hajauona?
Nilidhani una ushahidi beyond reasonable doubt kuwa si yeye. Hauko mbali na mimi kuamini katika ninachokiona kulingana na muonekano wa picha ( japo yaweza kweli kuwa sio). Unadhani ni kwa nini picha hii imekuja wakati huu? Aliyeitengeneza hajipendi au hawahofii hao waarabu wenye msimamo mkali?
 
Haya mambo ya ufalme ni ya kurithishana huyu alirithishwa akiwa bado na umri wa ujana ambapo ana matamanio ya kujiachia na kula bata kama kijana kwa hyo tusishangae kapewa cheo kikubwa kwa umri usiostahiki kwa hyo busara za:) kifalme hawez kua nazo kwa sasa ni badae sana umri ukisogea ....kula batta king
 
Nilidhani una ushahidi beyond reasonable doubt kuwa si yeye. Hauko mbali na mimi kuamini katika ninachokiona kulingana na muonekano wa picha ( japo yaweza kweli kuwa sio). Unadhani ni kwa nini picha hii imekuja wakati huu? Aliyeitengeneza hajipendi au hawahofii hao waarabu wenye msimamo mkali?
Waarabu wenye msimamo mkali are highly overrated. Wa Morocco tuko nao Unyamwezini wanakula ma burger ya kinyamwezi kama hawana akili nzuri.

Ushahidi beyond reasonable doubt ni upi? Reason gani? Doubt gani?

Unafahamu ukiamua kubishia kitu kwa reasonable doubt ambayo haijawa defined hata wewe mwenyewe unaweza kujibishia kwamba kweli upo kwa kutumia "reasonable doubt" ?
 
Kiranga, labda kama unaongelea picha nyingine lakini hiyo ya Shati la bangi kifuani its genuine, chanzo chetu ni sisi wenyewe (ipo kwenye camera) pale Mercury kwenye club ya Simai Mpakabasi, mjumbe wa BLW (CCM), Tunguu. Alikuwepo, akanywa bia Mbili za "Ndovu" akiwa kavaa Shati lake la bangi na akamgawia mhudumu aliyemletea bia mbili tip ya $100 akiwa amevaa shati hilo hilo la bangi. Ushahidi ni sisi wenyewe na camera yetu ambayo ipo, wahudumu wa mercury pub akiwemo aliyepewa hiyo $100 tip, hao akina dada ambao majina yao yapo, wafanyakazi wengine wa mercury akiwepo mmiliki Mh Simai Mpakabasi na wateja wengine kadhaa.

I must admit I found the pics incredible.

So what happened to the "Defender of The Faith" ?

Kuna reports kwamba jamaa ni gay pia.

This guy is supposed to be a direct descendant of the Prophet Muhammad .
 
Back
Top Bottom