Mfalme wa Morocco aja na kitanda, mazulia

Mfalme wa Morocco aja na kitanda, mazulia

Uchumi wa nchi yake unaruhusu kweli matumizi ya kifujaji kiasi hicho?
Fuatilia hapa: Economy of Morocco - Wikipedia
Mkuu usikariri kwa ku Google na propaganda za mitandao
Kuwa na kumbukumbu mfano wa Libya kama ni msomajo na mfuatiliaji vizuri wa masuala ya uchumi.

Libya iliingizwa kwenye propaganda za ajabu lakini alikuwa tajiri sana,na aliweza kuishi huku akiwekewa vikwazo bila hofu,na aliweza kusaidi Nchi nyingi sana za Africa ambazo zimewekewa vikwazo bila kujali.
Ni sawa na Sasahivi Yemen,Yemeni ilikuwa vizuri sana ila kuna masuala ya mipito ndio yanaipelekea vita ya wao kwa wao.Ila ratio ya uchumi wao ipo juu sana.

Hii inaitwa Economic Diplomacy
Tanzania ipo kwenye Low Income Status
Morocco ipo kwenye Middle income Status,na kuwa juu kiuchumi na kiviwanda
Pato la Mtanzania kwa Mwaka ni wastan wa USD 800,Pato la Raia wa Morocco ni wastan wa USD$ 5,000 - 6,000
Sasa hapo kwa mwenye akili utajua nini maana yake.

Anaeitafuta pesa ndio anayoijua matumizi yake.
Dar kuna watu wanaishi nyumba za Kupanga na wanamliki Magari.
 
Mkuu usikariri kwa ku Google na propaganda za mitandao
Kuwa na kumbukumbu mfano wa Libya kama ni msomajo na mfuatiliaji vizuri wa masuala ya uchumi.

Libya iliingizwa kwenye propaganda za ajabu lakini alikuwa tajiri sana,na aliweza kuishi huku akiwekewa vikwazo bila hofu,na aliweza kusaidi Nchi nyingi sana za Africa ambazo zimewekewa vikwazo bila kujali.
Ni sawa na Sasahivi Yemen,Yemeni ilikuwa vizuri sana ila kuna masuala ya mipito ndio yanaipelekea vita ya wao kwa wao.Ila ratio ya uchumi wao ipo juu sana.

Anaeitafuta pesa ndio anayoijua matumizi yake.
Dar kuna watu wanaishi nyumba za Kupanga na wanamliki Magari.
dah mkuu umenikuna na meneo yako hayo,ningekuona ningekupa mkono wa pongezi kwa kuongea mafupi yenye hekima na kufikirika
 
Anaye jua vizuri hali ya maisha ya watu wa Morocco afunguke kidogo, maana naona vitu vya mfalme siyo mchezo.
 
Waafrica ni watu wa hovyo sana, uyo mfalme angepewa inch kama USA au China angekuwa anatembea na Ndege 100
 
Kiukweli natamani sana kujua machache kutoka nchi ya Morocco.
Nchi hiyo hivi karibuni uchumi umekuwa sana na wamefanikiwa viwanda vizito vingi wakitegemea uvunaji wa umeme wa Solar !!
kilimo, utalii, Nguvu kazi za jinsia zote...
upload_2016-10-25_11-18-3.jpeg
upload_2016-10-25_11-18-14.jpeg
 
Back
Top Bottom