[emoji23] [emoji23] [emoji23]Angekuwa mtanzania angeshatumbuliwa jipu aishi km shetani
Kibaya zaidi ziara yake ni ya siku saba............ wonders shall never endAnataka kuwa mfalme was Tz labda!!Maana kuja na vitanda,mazulia nk!ni kama amehamia kwetu!!hajaja na masufuria!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]aje hata na raisi wake wa tanzania asimtumie huyu wa kwetu sisi hatujali
team magufuli for life!!
Kwani kuna nchi ambayo inaruhusu matumizi ya kifujaji .........Maana hata kama kuna rais yeye anatumia ndege za abiria wa kawaida bado ni mfujaji, kwasababu kuna raia wapo kwenye nchi nyingi tu ambao hawawezi kumudu hata nauli za usafiri wa umma.Uchumi wa nchi yake unaruhusu kweli matumizi ya kifujaji kiasi hicho?
Fuatilia hapa: Economy of Morocco - Wikipedia
haitaji mchepuko niwahi frusaamesahau chumba chake
nanyemelea kuwa mchepuko itakuwa zali la mentalimpenzi wake yuko wapi
Wenda ikawa neema kwetu wachepukajiAnataka kuwa mfalme was Tz labda!!Maana kuja na vitanda,mazulia nk!ni kama amehamia kwetu!!hajaja na masufuria!?
Mi sijasikia nadhani kaja nao.. kipitishe ikulu pale akuonehaitaji mchepuko niwahi frusa
tuendelee kutumbua majipupia hayamuhusu maisha ya wengne,abak na tz yake
si zako jali yenuWafalme ni wafujaji sana wa Mali
ulinzi ndo utanikwamisha ila watz bhana kubaniana frusa tu angeachwa akaja uswaziMi sijasikia nadhani kaja nao.. kipitishe ikulu pale akuone