Mfahamu vizuri Vladimir Putin, Rais wa Urusi

Pamoja na ubabe wake

Anamkiri Yesu kirsto kuwa mwokozi wa ulimwengu

Anasali : Russian Orthodox Church,
80px-Cross_of_the_Russian_Orthodox_Church_01.svg.png

220px-Patriarch_Kirill_of_Moscow.jpg

huyu ndie kiongozi wao Moscow
 
kweli kila nchi na mambo yake aisee......hayo mambo yangefanyika na rais wa USA wananchi wake wangetukana mpk basi yawezekana wangeomba hata akapimwe akili
wanaexercise tu ''freedom of speech''...wakati mwingine hamna cha maana wanacholalamika..
 
Dah nimependa, jamaa yupo kazini..wakati huku JP anatuambia watanzania fyatueni tu ntawasomesha watoto wenu teh teh teh teh teh teh, "FYATUENI WATOTO WAKUTOSHA"
 
Back
Top Bottom