SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Da Joy kachoka balaa
KachakaaDa Joy kachoka balaa
Msomi Uchwara agenda yake kubwa ilikuwa kudai ziwa Nyasa na wizi wa fedha umma akasahau maendeleo na chakula kwa WamalawiJoyce Hilda Banda, alizaliwa 1950. Huyu alikua Rais wa Malawi (April 2012-May 2014) msomi haswa alifurushwa kupitia sanduku la kura za Wananchi.
Pole Da JoyMsomi Uchwara agenda yake kubwa ilikuwa kudai ziwa Nyasa na wizi wa fedha umma akasahau maendeleo na chakula kwa Wamalawi
Wacha bana, AhahahahaMarekani mwakani Raisi mwanamke anapewa nchi na wapiga kura,mama mitano tena.