Mfahamu Mhubiri aliyetabiri kifo cha Rais Nkurunziza mwaka mmoja uliopita

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,446
Mhubiri aliyejulikana kama Nabii Pierre Barakikana wa kanisa la kievanjelisti la Emmanuel alikamatwa na kufungwa gerezani tarehe 8 mwezi wa sita mwaka 2019. Kama mkazi wa wilaya ya Bubanza, kijiji cha Mpanda, Barakakina alishtakiwa wilaya ya Makamba baada ya kukamatwa na polisi tarehe 29 mwezi wa tano mwaka jana .

Kwa mujibu wa shirika la utetezi wa haki za binadamu nchini Burundi, SOS Burundi , mashahidi walieleza kuwa “Nabii” Barakikana alipita mitaani akihubiri kuwa pigo la ugonjwa litaikumba Burundi na Rais Nkurunziza atafariki.

Jambo hili lilimfadhaisha sana gavana wa Makamba, Gad Niyukuri aliyeagiza akamatwe mhubiri huyu na akahamishwa gereza la Murembwe, huko Makamba

Pierre Barakikana akiwa gerezani aliendelea kusisitiza kuwa unabii aliyoupata ulikuwa wa kweli. Kwa mujibu wa mtandao wa habari wa Burundi Daily, ‘nabii’ Barakikana alisisitiza kuwa ni msemaji wa Roho Mtakatifu na yuko tayari kufa kuliko kunyamzishwa.

Tarehe 8 mwezi wa sita mwaka huu, mwaka mmoja baadaye, Rais Nkurunzinza alifariki dunia. Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC na vyanzo vingine ndani ya Burundi, rais huyu alifariki kwa ugonjwa wa Corona ambao umekuwa ukiikumbuka dunia nzima.

Hata hivyo taarifa rasmi ya serikali ya Burundi ilieleza kuwa alifariki kwa mshtuko wa moyo akiwa na umri wa miaka 55. Mke wake Rais alipelekwa nchini Kenya kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa Corona kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Kenya.

Rais Nkurunzinza ambaye alikuwa amemaliza muda wake, alipanga kumkabidhi madaraka rais mteule Evariste Ndayishimiye mwezi wa nane.

Rais Nkurunzinza alikataa kufuata mwongozo wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu njia za kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona na aliwafukuza wawakilishi wa shirika hilo nchini.

Credit: Kwanza Tv
PreacherBurundi-300x167.jpg
 
Credit: Kwanza TvView attachment 1480470
Kama alitabiri, na utabiri wake umetimia, basi wamwachilie na kumwomba msamaha.
 
Mwaka 93 Kuna MTU mmoja nchini Rwanda akijulikana kama Mtakatifu Magayane. HUYU alikuwa Nabii na Mtume. Aliabudu katika kabisa katoliki. Inasemekana alikuwa na nguvu kubwa Sana za kiroho. Yeye alioteshwa kuhusu kifo cha Juvenal Habyarimana aliekuwa Rais WA Rwanda at that time.

So akaomba kuonana na Mzee akisema ana ujumbe kutoka Kwa Mungu.

Baada ya nenda Rudi nenda Rudi hatimaye Mtakatifu Magayane akapata nafasi ya kuonana na Habyarimana.

Magayane : Nimekuja kukupa ujumbe kutoka Kwa Mungu kwamba utakufa kwenye ajali ya ndege na baada ya kifo chako yatatokea mauaji makubwa Sana nchini Rwanda Ila yatatulizwa . Atakae yatuliza atakuwa Rais wa nchi hii Lakini na yeye atayatuliza Kwa muda mfupi kwani atakapo ondoka yatatokea mauaji mengine makubwa mara mbili ya yatakayo tokea baada ya kufa kwako, atakae yatuliza hayo mauaji namba mbili ndio atatawala nchi vizuri na Kwa Amani.

Habyarimana : Solution ? Nifanye nini ili hayo yasitokee?

Magayane: Lazima hayo yatokee, solution ni wewe kutubu na kumrejea Mungu ili utakapo fika muda wako ambao u karibu kuja uende Mbinguni ukiwa msafi wa moyo na Mungu aweze kukupokea.

Habyarimana: Guards !! Arrest this idiot.

So he was arrested accordingly. He died in jail few months later.

One year later Habyarimana was killed in a plane.
 
Hayo mambo hata mimi na wewe tunaweza kuyafanya sio big issue ..endapo ukiwa unaifahamu vyema elimu ya nyota ... Unaweza kutabiri chochote kile kisha kikaja kutokea kweli .. Ni issue ya kucheza na namba tu " mwendo wa hisabati

Ila sasa wenye elimu hiyo wengi hijifanya kuwa wao ni manabii au wana upako Fulani hivi toka kwa mungu ili waweze kuvuna pesa za wananchi "

Ila kiukweli hiyo ni elimu kama zilivyo elimu nyingine ila huwa inafichwa Sana
 
Back
Top Bottom