crabat,
Huyo ni
Baraka Shamte siyo
Bakari Shamte.
Baraka Shamte ni mtoto wa Sheikh
Mohamed Shamte aliyekuwa
Waziri Mkuu Zanzibar ambae alipnduliwa na yeye akaja kufungwa
Ukonga Prison, Dar es Salaam.
Habari zake ni nzito kada huyu wa ASP na CCM.
Nakuombeni wanajamvi muwe na subira.
Nimefanya mahojianonae nyumbani kwake Mkunazini Zanzibar nikiwa
na TV Imaan.
Subirini hivi karibuni TV yetu itakuwa hewani kupitia Startime In Sha
Allah mtamsikie yeye mwenyewe akijieleza.
Picha hiyo hapo chini tukiwa katika majadiliano: