Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
- Thread starter
-
- #41
hakuna kinachoweza kuzuia maombi yangu. maneno yangu yanatoka na moto wa Roho Mtakatifu. Asante Kristo Yesu kwa Roho wako
Mada nzuri ile kamalizia vibaya mno ...
Nimebaki kucheka na kilenzi
Wao waende meeting ama wasiende meeting maombi yanafika baraabaraaaa
Nini ya Jini na Pepo.Mshana JrNa ndo maana nimeandika kifupi tu, maana najua akili za watu.
Hahahaha.....jmn watu kwa kushushua hamjamboKwa hiyo wewe ni mshirika wao mpaka uwajue na majina?
MkuuEndelea kujidanganya na siku zinasonga mbele.
Na sijui Kama una usafi wa kumzidi Daniel mtu wa Mungu ambaye majibu ya Maombi yake yalizuiwa Kwa Siku 21,na mkuu wa uajemi (Belzebur). hadi Mungu akamtuma malaika wa Vita Mikael, akapigana na pepo Belzebur na kulishinda na ndipo Daniel akapata majibu yake.
Tatizo lenu ndugu zangu walokole mna ubishi wa ajabu Sana ambao mara nyingi hauwasaidii Daniel 10:13.
Endelea kujidanganya na siku zinasonga mbele.
Na sijui Kama una usafi wa kumzidi Daniel mtu wa Mungu ambaye majibu ya Maombi yake yalizuiwa Kwa Siku 21,na mkuu wa uajemi (Belzebur). hadi Mungu akamtuma malaika wa Vita Mikael, akapigana na pepo Belzebur na kulishinda na ndipo Daniel akapata majibu yake.
Tatizo lenu ndugu zangu walokole mna ubishi wa ajabu Sana ambao mara nyingi hauwasaidii Daniel 10:13.
Mkuu chukua ujasiri wa mshana jr wakati anaweka mabandiko yake kuna watu walikuwa wakimpinga aidha aliendelea kukomaa Mwisho wa siku watu wamekuwa wakimuomba aweke Topic so kiongoz kama unania yakufundisha lete vitu Wengine sisi hatupitwi na jambo tunasoma kila kinachoandikwa tunachanganya na zetu so mkuu karibu uendelee ulipobakishaEndelea kujidanganya na siku zinasonga mbele.
Na sijui Kama una usafi wa kumzidi Daniel mtu wa Mungu ambaye majibu ya Maombi yake yalizuiwa Kwa Siku 21,na mkuu wa uajemi (Belzebur). hadi Mungu akamtuma malaika wa Vita Mikael, akapigana na pepo Belzebur na kulishinda na ndipo Daniel akapata majibu yake.
Tatizo lenu ndugu zangu walokole mna ubishi wa ajabu Sana ambao mara nyingi hauwasaidii Daniel 10:13.
Kwenye ulimwengu wa Roho kuna....wa GIZA na NURU nivizuri kuzijua pande zote vzr Humu duniani huwezi kujua kila kitu unaweza kusema unaujua zaidi ulimwengu wa NURU unaweza ukakutana na MTU anajua mengi kuliko ww so maisha hayataki kukaririHumu ndani kuna watu ni wapotoshaji na wanajiribu kuharibu mind za watu kwa mambo ya uongo na yasiyo na tija katika kumtukuza Mungu. Bali yanafubuza mind za watu na wanajikuta wana acha kumtafakari Mungu, wanaanza kutafakari katika mind zao mambo ya giza...
Kwenye ulimwengu wa Roho kuna....wa GIZA na NURU nivizuri kuzijua pande zote vzr Humu duniani huwezi kujua kila kitu unaweza kusema unaujua zaidi ulimwengu wa NURU unaweza ukakutana na MTU anajua mengi kuliko ww so maisha hayataki kukariri
uliyoandika mengi kama sio yote yanafanana na mafundisho ya kikiristo kuhusu shetani na utawala wake maudhui ya mafundisho yako ni mazuri,
lakini ni vigumu watu wote kuomba saa nane usiku nafikiri ni vizuri ungewashauli wafanyeje ili hata kama wakiomba mchana maombi yao yasizuiliwe.
kilicho muhimu ktk maombi ni imani ya kile unachoomba kwamba kitatimia.
yaani "IMANI".
Inawekana anadanganya lkn hadi ujue kuwa anadanganya Manake unaujua ukweli so kwakuwa hapa nikama Darasa kama MTU amedanganya ikiwa unaujua ukweli unaweka watu tunapima.....Wanasema hoja inapingwa kwa HojaHatukatazwi kujua, isipokua mleta mada anajuza watu kwa taarifa zisizo sahihi. Yaani namaanisha ni mwongo muanzisha mada