Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 1,787
- 2,662
LENANA Ole MBATIAN, Ni Laibon (Mungu) wa Kimasai aliyepata kuishi Kenya na alitawala kuanzia mwaka 1887 mpaka miaka ya mwanzoni mwa 1900 kwa eneo la Nairobi na Tanzania pia.
LENANA, Ni miongoni mwa Vijana HODARI na SHUJAA SANA wa kimasai ambaye kama ilivyo kawaida ya Wanaume wa Kimasai kuwa hawakuweza kuozeshwa binti bila kuua Simba...
LENANA yeye alifanikiwa kuua Simba wawili peke yake na alienda porini kwaa ajili ya kuua Simba wa tatu ili aongezewe Mke, ndipo alipojeruiwa sehemu ya shingo na kutibiwa kienyeji baadae akapona lakini hakufanikiwa kumuua yule Simba
LENANA OLE MBATIAN, alikuwa na Ndugu yake wa kuzaliwa aliyeitwa SENTEU ambaye nae ilimbidi kuua Simba ili kuoa, baadae walikuja kugombana kwa kumgombea Binti mmoja ambaye LENANA ndiye aliyemuoa
Jina lake limekuwa Maarufu sana Kenya na Tanzania mpaka kuna shule nchini Kenya linaitwa kwa jina lake pamoja baadhi ya Hoteli za Kitalii nchini Kenya.