Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,101
Yaa mkuu shule ya longi sana nakumbuka nilikuwaga nampeleka mdg wangu na baiskeliAsante sana, Pale Sua-Kampasi ya Mazimbu kuna shule ya msingi Solomon Mahlangu nimepita sana mitaa hiyo sikuwa najua historia ya huyu mtu.