Mfahamu Hussein Shekilango, aliyepewa jina la barabara jijini Dar (kuanzia Bamaga - Urafiki)

Saivi ukitaka mtaa uitwe jina lako au barabara basi we nenda porini huko

au nnje ya mji kabisa,anzisha makazi taratibu mji unapokua ukikufata kule ulipo

wewe ndio utakua mwenyeji wa eneo lile na kifuatacho utajikuta ukiitwa "mzee wa kijiji"

au kijiji cha mzee simba mtoto. ILA haya mambo ya kujenga hku mijini tunabanana humu

sahau kuona jina lako likitumika popote pale.
 
Halafu haya majina ya Shekilango na Shemhando ni hayo hayo ya Kilango na Mhando

wasambaa zamani walikuwa wanafikiri mtu kuitwa sheikh ni title ya ujiko
so wakaanza kuongeza sheikh kwenye majina yao.

Yaani mhando ikawa sheik mhando
kilango ikawa shekilango
lukindo ikawa shelukindo n.k

sasa ndo imekuwa hivyo.
she ni baba shelukindo ni baba lukindo
 
Marehemu shekilango alifariki 19 may, 1979, nikiwa darasa la tano, one of our relative luteni peter mallya died in that accident, ndege iligonga vilima fulani huko arusha kutokana na hali mbaya ya hewa.

Luteni Mallya, our relative was the only son to his parents.

Siku hiyo gazeti la Uhuru liliandika shekilango na wengine sita wafariki
1979 std 5
Heshma yako kaka Mwikimbi
 
Back
Top Bottom