Mfahamu Garavito au The Beast

Damaso

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
1,590
2,088
Habari za mchana wanaJF, pole kwa wagonjwa na wenye afya waendelee na afya njema.
Katika Dunia kumepata kutokea watu wa aina na sampuli kadha wa kadha; tena wenye tabia na mionekano tofauti. Wapo wenye upendo na walio katili na kwenye upande wa ukatili haswa mauaji kuna jina moja tu linalobeba kila dhana na tafsiri ya Hakika ya neno ukatili au mauaji ya kikatili.
Mada ya leo Naomba niombe radhi kama nitamkera kwa lugha au maudhui haya.
IMG_2199.jpg

Kutana na Garavito au Luis Alfredo Garavito Cubillos. Akiwa ni mtoto wa Kahaba mmoja hivi kutoka mitaa ya nchi ya Colombia aliyeitwa Rosa Delia Cubillos huku baba yake akiwa ni Manuel Antonio Garavito mzee wa pombe na madawa ya Kulevya ile kupindukia.
Akiwa na Mdogo tu alikimbia nyumbani kwao na kuingia mtaani Kwani alichoka kuona vipigo na manyanyaso ya Baba yake kwa Mama yake.
IMG_2196.jpg

Aliishi mtaani kwa Miaka miwili mpaka alipokutana na mwanaume mmoja aliyemchukua Garavito na kumpa ahadi ya kupata chakula kizuri pamoja na mahala Salama pa kulala. Ingawa Garavito alikubali ila hali haikuwa hivyo; Kwani Alipelekwa mpaka nyumba moja iliyoko mafichoni na Garavito alianza kunyanyaswa kingono. Miezi kadhaa baadaye alitoroka na kujiunga na kikundi cha kihalifu.
Kumsoma zaidi ingia hapa:
IMG_2192.jpg

Haya ni mambo kumi kuhusu Garavito:
10. Alijulikana kama “La Bestia” kwa Colombia au kwa kiingereza kama “The Beast”. Luis Alfredo Garavito Cubillos ndo Moja kati ya wauaji wanaoshikilia rekodi ya kuua watu wengi. Huyu alikutwa na kesi zaidi ya 139 ila alikubali zaidi ya kesi 147.
IMG_2198.jpg

9. Wahanga wa vifo walikuwa ni Watoto wa kiume wenye miaka 8 mpaka 16. Na wengi walikuwa ni Watoto wa mitaani, Watoto wa wakulima pamoja na Watoto masikini.
IMG_2200.jpg

8. Garavito alitumia ujanja wa kuwapatia watoto zawadi pamoja na pesa kisha kuwachukua na kutembea nao umbali mrefu na Watoto au mtoto atakapochoka basi umchukua na kumuingilia kinyume na maumbile kisha ukatisha uhai wao.
Aliwafunga mikono kisha kuwavua nguo zote na kuwalawiti. Baadhi ya Maiti zilikutwa zikiwa hazing viungo kama vile; Pumbu, Dhakari, ulimi, na baadhi wakiwa wamekatwa katwa Kabsa.
IMG_2203.jpg

7. Moja kati ya njia ya kikatili aliyotumia kuwaua Watoto ilikuwa ni kuwakata koromeo pamoja na kuwachoma visu katika tumbo. Uchunguzi uliofanyika ulionesha baadhi ya maiti zikiwa zimekatwa katwa.
IMG_2205.jpg

6. Garavito alishikwa na Polisi tarehe 22 mwezi wa nne mwaka 1999 akiwa anataka kumlawiti mtoto kijana mmoja; na wakati akitaka kufanikisha tukio hilo, mpita njia aliona na kumuzuia Garavito. Alipokuwa anahojiwa ndipo Polisi walianza kuhisi Huyu ndo anaweza kuhusika na matukio yale. Garavito alihukumiwa jumla ya Miaka 30 jela. Alikutwa na hatia ya jumla ya kesi za mauaji 139 kati ya 172.
IMG_2202.jpg

5. Kipindi akiwa jela Bwana Garavito alisaidia Polisi katika upelelezi na kupata miili ya wahanga zaidi ya hamsini. Na baada ya kukiri kuwa amehusika basi alipunguziwa kifungo kwa Miaka 8 na kubakiza Miaka 22 tu.
IMG_2204.jpg

4. Wananchi wa Nchi ya Colombia wanaona kama Sheria iliyotumika kumfunga pamoja na kumpunguzia kifungo ikiwa haina ubora na mashiko. Wananchi wanataka bwana Garavito apewe kifungo cha maisha au hukumu ya kifo.
IMG_2206.jpg

3. Kutokana na idadi ya vifo alivyosababisha na kukubali basi hukumu yake inatakiwa iwe Miaka 1853 na siku 9 lakini Sheria ya nchi ya Colombia inaruhusu mwisho kifungo cha Miaka 60 tu.
IMG_2207.jpg

2. Baba yake Garavito aliozea kumpiga sana na alinyanyaswa sana na majirani zake wawili wa kiume. Walimuingilia kinyume na maumbile.
Huyu jamaa alifanyiwa ulawiti na majirani zake wawili walikuwa ni wanaume. Lakini pia Baba yake alikuwa akimnyanyasa Dogo Garavito pamoja na Mama yake hivyo hivi vilipelekea yeye kuwa na tabia hii ya kupenda kulawiti Watoto wa kiume.
IMG_2208.jpg

1. Inaaminika kuwa alihusika kwenye mauaji zaidi ya watu 300. Alichora ramani na kuonesha maeneo aliyowahi kutumia kutoa uhai wakati akiwa gerezani.
IMG_2193.jpg

Kwa sasa Bwana Mkubwa Garavito anatumikia kifungo chake akiwa kwenye gereza la Valledupar huko Colombia. Na amewekwa sehemu tofauti na wafungwa wengine kwa sababu ya hofu ya kutokea mauaji tena aidha Garavito kuuawa au mfungwa kulawitiwa au kuuawa na Garavito.
IMG_2197.jpg

Mawakili wake wanasubiria mwaka 2023 kuona kama Garavito atapata msamaha wa paroli. Ingawa Bado kuna ugumu kwenye Sheria za Colombia Kwani inaonesha kuwa wahalifu wote waliohusika kwenye uhalifu ya kuua, kudhuru na hata kujaribu kuwadhuru watoto; basi hawa hawatopata msamaha.
IMG_2203.jpg

Naomba leo niishie Hapo tutaonana kwenye mada nyingine tena.
@Mshana Jr @Madame B @MALCOM LUMUMBA na wengine.
 
Namba 2 ujumbe haueleweki. Sijui ulitaka kusemaje

Huyu jamaa alifanyiwa ulawiti na majirani zake wawili walikuwa ni wanaume. Lakini pia Baba yake alikuwa akimnyanyasa Dogo Garavito pamoja na Mama yake hivyo hivi vilipelekea yeye kuwa na tabia hii ya kupenda kulawiti Watoto wa kiume.
 
Habari za mchana wanaJF, pole kwa wagonjwa na wenye afya waendelee na afya njema.
Katika Dunia kumepata kutokea watu wa aina na sampuli kadha wa kadha; tena wenye tabia na mionekano tofauti. Wapo wenye upendo na walio katili na kwenye upande wa ukatili haswa mauaji kuna jina moja tu linalobeba kila dhana na tafsiri ya Hakika ya neno ukatili au mauaji ya kikatili.
Mada ya leo Naomba niombe radhi kama nitamkera kwa lugha au maudhui haya.
View attachment 1743001

Kutana na Garavito au Luis Alfredo Garavito Cubillos. Akiwa ni mtoto wa Kahaba mmoja hivi kutoka mitaa ya nchi ya Colombia aliyeitwa Rosa Delia Cubillos huku baba yake akiwa ni Manuel Antonio Garavito mzee wa pombe na madawa ya Kulevya ile kupindukia.
Akiwa na Mdogo tu alikimbia nyumbani kwao na kuingia mtaani Kwani alichoka kuona vipigo na manyanyaso ya Baba yake kwa Mama yake.
View attachment 1743019

Aliishi mtaani kwa Miaka miwili mpaka alipokutana na mwanaume mmoja aliyemchukua Garavito na kumpa ahadi ya kupata chakula kizuri pamoja na mahala Salama pa kulala. Ingawa Garavito alikubali ila hali haikuwa hivyo; Kwani Alipelekwa mpaka nyumba moja iliyoko mafichoni na Garavito alianza kunyanyaswa kingono. Miezi kadhaa baadaye alitoroka na kujiunga na kikundi cha kihalifu.
Kumsoma zaidi ingia hapa:
View attachment 1743002

Haya ni mambo kumi kuhusu Garavito:
10. Alijulikana kama “La Bestia” kwa Colombia au kwa kiingereza kama “The Beast”. Luis Alfredo Garavito Cubillos ndo Moja kati ya wauaji wanaoshikilia rekodi ya kuua watu wengi. Huyu alikutwa na kesi zaidi ya 139 ila alikubali zaidi ya kesi 147.
View attachment 1743005
9. Wahanga wa vifo walikuwa ni Watoto wa kiume wenye miaka 8 mpaka 16. Na wengi walikuwa ni Watoto wa mitaani, Watoto wa wakulima pamoja na Watoto masikini.
View attachment 1743006
8. Garavito alitumia ujanja wa kuwapatia watoto zawadi pamoja na pesa kisha kuwachukua na kutembea nao umbali mrefu na Watoto au mtoto atakapochoka basi umchukua na kumuingilia kinyume na maumbile kisha ukatisha uhai wao.
Aliwafunga mikono kisha kuwavua nguo zote na kuwalawiti. Baadhi ya Maiti zilikutwa zikiwa hazing viungo kama vile; Pumbu, Dhakari, ulimi, na baadhi wakiwa wamekatwa katwa Kabsa.
View attachment 1743007
7. Moja kati ya njia ya kikatili aliyotumia kuwaua Watoto ilikuwa ni kuwakata koromeo pamoja na kuwachoma visu katika tumbo. Uchunguzi uliofanyika ulionesha baadhi ya maiti zikiwa zimekatwa katwa.
View attachment 1743008
6. Garavito alishikwa na Polisi tarehe 22 mwezi wa nne mwaka 1999 akiwa anataka kumlawiti mtoto kijana mmoja; na wakati akitaka kufanikisha tukio hilo, mpita njia aliona na kumuzuia Garavito. Alipokuwa anahojiwa ndipo Polisi walianza kuhisi Huyu ndo anaweza kuhusika na matukio yale. Garavito alihukumiwa jumla ya Miaka 30 jela. Alikutwa na hatia ya jumla ya kesi za mauaji 139 kati ya 172.
View attachment 1743009

5. Kipindi akiwa jela Bwana Garavito alisaidia Polisi katika upelelezi na kupata miili ya wahanga zaidi ya hamsini. Na baada ya kukiri kuwa amehusika basi alipunguziwa kifungo kwa Miaka 8 na kubakiza Miaka 22 tu.
View attachment 1743010

4. Wananchi wa Nchi ya Colombia wanaona kama Sheria iliyotumika kumfunga pamoja na kumpunguzia kifungo ikiwa haina ubora na mashiko. Wananchi wanataka bwana Garavito apewe kifungo cha maisha au hukumu ya kifo.
View attachment 1743012
3. Kutokana na idadi ya vifo alivyosababisha na kukubali basi hukumu yake inatakiwa iwe Miaka 1853 na siku 9 lakini Sheria ya nchi ya Colombia inaruhusu mwisho kifungo cha Miaka 60 tu.
View attachment 1743014
2. Baba yake Garavito aliozea kumpiga sana na alinyanyaswa sana na majirani zake wawili wa kiume. Walimuingilia kinyume na maumbile.
View attachment 1743015

1. Inaaminika kuwa alihusika kwenye mauaji zaidi ya watu 300. Alichora ramani na kuonesha maeneo aliyowahi kutumia kutoa uhai wakati akiwa gerezani.
View attachment 1743016

Kwa sasa Bwana Mkubwa Garavito anatumikia kifungo chake akiwa kwenye gereza la Valledupar huko Colombia. Na amewekwa sehemu tofauti na wafungwa wengine kwa sababu ya hofu ya kutokea mauaji tena aidha Garavito kuuawa au mfungwa kulawitiwa au kuuawa na Garavito.
View attachment 1743018

Mawakili wake wanasubiria mwaka 2023 kuona kama Garavito atapata msamaha wa paroli. Ingawa Bado kuna ugumu kwenye Sheria za Colombia Kwani inaonesha kuwa wahalifu wote waliohusika kwenye uhalifu ya kuua, kudhuru na hata kujaribu kuwadhuru watoto; basi hawa hawatopata msamaha.
View attachment 1743017
Naomba leo niishie Hapo tutaonana kwenye mada nyingine tena.
@Mshana Jr @Madame B @MALCOM LUMUMBA na wengine.
Dah noma kweli.
Basi edit na uliyo mention hapo
 
kitu 'Al Capone ( Scarface)' , huyu jamaaa bado ni father of all gangster's kwa muda wotee, duniani hakuna muuni mwenye legalicy kama ya Al Capone, takriban miaka 72 tangu kifo chake FBI bado hawajalifunga file lake …………..
 
Ahh sawa
 
Back
Top Bottom