Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,823
- 168,048
Umenikumbusha Mwanahapa a.k.a M Sleeping CoachMbona huyo cha mtoto, kulikuwa na ligi ya masia express Tzj 3360 matema beach Tzj 7104 , Tawaqal Tzk110 etc , hizi zilikuwa zikikutana dae mnaingia saa nane mchana ,yani kipindi cha dj show ya radio one ya kina mike mhagama ndo kinaanza
Hood ye alikuwa ana game lake la kuingia saa kumi Tunduma ,
Mkwema bus Msm 34 , nayo ilikuwa inaingia Tunduma saa kumi jioni , ikitokea Dar.
Mwanahapa ilichinja watu aisee sijasahau hadi leoUmenikumbusha Mwanahapa a.k.a M Sleeping Coach
Umenikumbusha Mwanahapa a.k.a M Sleeping Coach
Safina na zile Scania zake nyekundu aisee. Nissan Diesel (Saitama na Yokohama) zilikuwa ni special kwa njia ya Mbeya SumbawangaUnaikumbuka Upete Television Coach, je Safina au ile Zainab ya zamani (achana na zile Volvo), au Kwacha (Nissan Diesel) na mtemi wa kusini enzi hiyo Kiswele
Na watu wanasifia sauli na dazu ya golden ati zinakimbia , huwa nachefuka sanaYes mkuu hii Matema Beach Yes ilikua ni moto, pia kiswele route ya dar to songea hii bus nayo ilitamba sana, eti leo unatoka Dar saa 6am na unaingia tunduma 20:00hrs, si bora nipande baiskeli
Safina na zile Scania zake nyekundu aisee. Nissan Diesel (Saitama na Yokohama) zilikuwa ni special kwa njia ya Mbeya Sumbawanga
Ni Isuzu Mv series, 110, 118, na 120 alikuwa nazo sadiq line dar moroNi isuzu FTR direct injection hizi zilikuwa zinamwaga moto hatari
HapanaMiaka hiyo barabara kutoka Dar hadi Songea ilikuwa mkeka kama sasa?
Haha we mkongwe , mwanahapa alikuwa makao makuu mwanjelwa , na ailimalizia safari zake dar lusakaUmenikumbusha Mwanahapa a.k.a M Sleeping Coach
Duuh hatari sana hiyo karibu na Dar Mwanza965km
Ni miaka ile ya 90. Ni Likungu Trans, ISUZU MV 118, TZK6150, Dar Njombe Songea. Dereva Selepion huyo wa Katikati na aliyeshika kiuno ni Juma Ndang'o.
Alisumbua sana njia ya Songea - Dar. Alishawahi kuingia Songea saa 12 kasoro jioni akitokea Dar, dereva, alikuwa ni Selepion.
Ilikuwa ni vigumu sana kuamini kama ISUZU inaweza kukimbia hivyo. Lakini Likungu ndiyo ilikuwa hivyo. Hatari sana, watu wa Songea hawawezi sahau hii gari.
Mkuu umeua kabisa mada hii, yeee Safina hii bus(mahenge wa kibao mufindi)ilikua majembe sana n dereva wao yoso!,zainab za mwanzo iringa to Dar, kwacha kwangu ni Ile bus ya Navolonge swela CD Leyland, Ile bus ikishamaliza kitonga pass, tuonane mnazi mmoja stendi,Scania zote zitafuata nyumaUnaikumbuka Upete Television Coach, je Safina au ile Zainab za zamani (achana na zile Volvo), au Kwacha (Nissan Diesel) na mtemi wa kusini enzi hiyo Kiswele
Okalla na Yoge wa Kiswele walikuwa wanatoka Dar saa 12 asubuhi na kufika Songea saa 11 jioniNi miaka ile ya 90. Ni Likungu Trans, ISUZU MV 118, TZK6150, Dar Njombe Songea. Dereva Selepion huyo wa Katikati na aliyeshika kiuno ni Juma Ndang'o.
Alisumbua sana njia ya Songea - Dar. Alishawahi kuingia Songea saa 12 kasoro jioni akitokea Dar, dereva, alikuwa ni Selepion.
Ilikuwa ni vigumu sana kuamini kama ISUZU inaweza kukimbia hivyo. Lakini Likungu ndiyo ilikuwa hivyo. Hatari sana, watu wa Songea hawawezi sahau hii gari.
No mkuu why bus itembee 700km kwa masaa 12,it's craze mkuu,huu ni mwendo wa masaa 8 tu,soma hii kutoka kapiri mposhi hadi nakonde ni 800km,power tools anafukia hiki kipande kwa 8hrs na hakuna ajali yeyoteHakuna kitu cha namna hiyo usidanganywe! Labda kama alikuwa anaendesha helkopta! Basi likiondoka Dar saa 12 asubuhi linaingia Njombe saa 12 jioni, na toka Njombe hadi Songea ni masaa matatu na nusu hadi manne. Unamdanganya nani wewe!
UsikaririHakuna kitu cha namna hiyo usidanganywe! Labda kama alikuwa anaendesha helkopta! Basi likiondoka Dar saa 12 asubuhi linaingia Njombe saa 12 jioni, na toka Njombe hadi Songea ni masaa matatu na nusu hadi manne. Unamdanganya nani wewe!
No mkuu why bus itembee 700km kwa masaa 12,it's craze mkuu,huu ni mwendo wa masaa 8 tu,soma hii kutoka kapiri mposhi hadi nakonde ni 800km,power tools anafukia hiki kipande kwa 8hrs na hakuna ajali yeyote
Yooooo Nganga nhe, nini kiliua makampuni haya jamani?Miaka ya karibuni walioweza kidogo kuurudisha ule moto walikuwa Nganga, Happy Nation na Majinjah...
Wateja wakubwa walikuwa wafanyabiasha na madavoo wa IT, hapo raia wanawaishwa kuja kufunga mzigo K'koo kesho yake wageuze chap...
Nishawahi kupanda Happy Nation, toka Mbeya na ikafika Dar saa kumi kasoro jioni...(hii ni 2000 mwanzo hapo)...
Jadili hoja sio matusi, hakuna aliyekuita wewe any names, show respect kama huvutuwi na mada no one kakushikia bunduki ujibie, soma mada zingine mkuu, wewe kwa upeo wako unaona speed but wengi wetu we bring back our good memories, next time shirikisha ubongo kabla ya kujibu mada humuKwa hiyo hapa mnachojadili ni nini?