bulajunior
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 624
- 898
km ni mzee manara au JK sawa endelea kuongea nae lkn km sio miongoni mwa hao achana nae utajisumbua tuMtoa mada kama kingereza hukijui bora unyamaze na uwache kuwatia aibu wenzako utopolo..we unajua kuliko rais Samia aliowambia mwaka 2023 mlipo fila wenzenu wamepita miaka 30 iliyopita...we unajua kuliko waziri wa michezo Mwana FA?
Serikali yako inatambua na imeweka kwenye records ya kwamba Simba ilifika huko 1993,wewe ni nani by the way?