MFAHAM DIRECTOR WA MUVI YA THE TITANIC NA AVATAR

MFAHAM DIRECTOR WA MUVI YA THE TITANIC NA AVATAR

Carbon 4real

Member
Joined
Mar 8, 2025
Posts
8
Reaction score
13
Anaitwa James Cameron kazaliwa Agosti 16,1954(70) nchini Canada sehem iitwayo Ontario.
Kwenye sanaa ambayo alianza kuifanya mwaka 1978 yeye ni mhariri, mwandishi na muongozaji wa filam na tamthlia na mpaka sasa amefanikiwa kuongoza filam nyingi maarufu zinazoendelea kushika kilele ata sasa zikiwemo titanic,avatar na nyingine kibao
Kwenye afanikio ukiacha kufanikiwa kutengeneza filam nzuri kwenda kwa watazamaji lakin pia filam izo zimeweza kumpatia tuzo nyingi maarufu kama pongezi ya kazi kubwa aliyoifanya ambapo Tuzo yake ya kwanza aliipata kupitia filam ya The Terminator ile aliyocheza Arnold Schwarzenegger ambapo aliweza kutwaa tuzo ya muandaaji bora wa filam hiyo katika mwaka 1986 na kumfanya kuendelea kutwaa tuzo zote za muendelezo wa The Terminator bila kusahau tuzo zingine kama Titanic na Avatar ya mwaka 2009,
Kwa utajiri James Cameron ana utajiri wa Euro milioni618 na hii inamfanya kuwa tajiri namba 2 kwenye orodha ya waongozaji wa filam matajiri Duniani.
Baada ya Avatar:The way of water kutoka mwaka 2022 na kufanya
vizuri sana pia mwaka huu inatarajiwa kutoka Avatar:Fire And Ash.
Kwenye kutengeneza filam zenye stori za kufikirika mwamba hana mshindani.

images (96).jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom