Mfadhili wa Raila Odinga akutwa na bunduki zaidi ya 100 nyumbani kwake

Sielewagi why owner wa Citizen aliamua waziwazi kushikamana na RAO badala na Kenyatta& allies...maana wakikuyu wana ile partnership in crime. Iweje hawa na yule marehemu Juma wakashikamana na jaluo (RAO?)
Marehemu Juma alikuwa Mluhya. Huyu Mwirigi na Macharia ni exotic species among Kikuyus. Si Kikuyu wote makondoo. ..
 
Hapana mkuu, AK47 siyo tu eti ni bunduki, wala si category moja na bastola.

Ile iko level nyingine, ni “assault riffle”, moja tu ni business nyingine kabisa, seuse tano?

Ile kitu inatema risasi 600 kwa dakika mkuu.
Sheria za Kenya unazijua? FYI kule Turkana wafugaji walipewa AK47 kujihami na cattle rustles kipindi cha Moi.
 
Dear Kenyans, its important to ask a few hard questions:
First, read this article keenly. https://
www.the-star.co.ke/news/2017/01/16/
probe-jimmy-wanjigi-over-jacob-juma-murder-family_c1487752
The Family of the late Jacob Juma refused to buy the emotional and political accusations directed at the Government and decided to use their brains. They publicly called for a probe into the one who was wailing loudest.
Now, let ius move from there and ask some very hard questions
1) Who got most political mileage from the murder of Chris Musando? Isn't it strange that transmission of results has turned out to be a big issue? Isn't it strange that the main financier of the opposition turns out to be owning a transmission company? Isn't it true that Musando was just one of the many people in the IT department... and not the main guy? Why would Jubilee kill a middle level manager? Who actually gained from Musando's killing?
Just like the Jacob Juma story......there is more than meets the eyes.
2) Mysterious killings of demonstrators. Why would the police target five year old babies? Why would police target 70 year old grannies..... And fail to shoot the obviously armed youthful looters? Isn't someone playing games by killing soft targets in order to gain public sympathy and incite a section of Kenyans against the State?
As you digest these two hard questions, let us find out what those guns were meant for.....maybe they were supposed to cook Uji for the hungry protestors.

Woi... Yaani politics is a dirty...very dirty and filthy game, how do these people sleep in the night, do they have souls.
 
Maybe one of the most obiquotos variant of AK47.

Bunduki alizokua nazo huyo jamaa sio za kawaida, aidha alikua anajiandaa kwa vita, au yeye ni enthusiast wa silaha ambapo anakusanya aina aina, ila sasa kuna tuhuma zinaibuka hizo bunduki zake zimetumika kwenye maandamano. Haikua inaleta mantiki kwanini polisi waamue kuweka shaba watoto ghafla.
 
mumeshupalia dereva weee, haya wale walinzi wanamlinda naibu speaker na waziri sasa hivi ambao ni karibu na walinzi wa geti mbona hamuwagusi, hao inafaa wawekwe ndani kwanza mpaka pale tundu akipona ndio watolewe, lakini mnarusha rusha miguu tu, ati tunamtaka dereva
Mbona yule dogo wa Nnape na wale wa Clouds hawajakamatwa?
 
Bunduki alizokua nazo huyo jamaa sio za kawaida, aidha alikua anajiandaa kwa vita, au yeye ni enthusiast wa silaha ambapo anakusanya aina aina, ila sasa kuna tuhuma zinaibuka hizo bunduki zake zimetumika kwenye maandamano. Haikua inaleta mantiki kwanini polisi waamue kuweka shaba watoto ghafla.
Tumia akili ww ZOMBI mfuasI wa NASA anayeandamana abebe silaha kama AK47 kwenye maandamano? Na polisi wanamuangalia tu? Jubilee acheni siasa rahisi. Mkitaka kumaliza mchezo mmalizeni RAO kama mwanae. Hapo mtatawala milele
 
giphy.gif



happenings in Kenya remind me of this movie..
 
Tumia akili ww ZOMBI mtu anayeandamana anabeba silaha? Na polisi wanamuangalia tu?

Rais Kikwete ipo siku aliwaambia muwe mnaongeza na za kwenu akili sio kubebewa kila kitu, jaribu kupanua uelewa wako la sivyo uwache kujihusisha kwenye mazungumzo ya wakubwa.
 
Rais Kikwete ipo siku aliwaambia muwe mnaongeza na za kwenu akili sio kubebewa kila kitu, jaribu kupanua uelewa wako la sivyo uwache kujihusisha kwenye mazungumzo ya wakubwa.
Tatizo unaweka ukada wa jubilee bila kutumia akili hata kidogo. Mmeshikwa pabaya. Subirin hao Jaluoz wa Kibera, mathare, Na baba dogo watakavyochafua Nairobi next week
 
Disturbing ..usicheze na Kenya Police...hawaogopi hata kurekodiwa





and so the drama continues....I pray for peace for our neighbours...
 
Bado na hapa wale wanaomficha dreva kwa kisingizio cha kisaikolojia wabanwe vizuri

You are off the point jamaa unakuwaje unaandika kitu ambacho hakina uhusiano na kicha cha habari au ndo upo kwenye kundi la shule za kata ambazo hazina waalimu?! Issue hapa ni Raila na tajiri rafiki na mfadhili wake na siyo Tundu Lissso na devera wake!!
 
Dereva anatafutwa si kwa kuona tukio zima bali kwa kuwa kuna uwezekano kuwa ni mmoja wa waliochora mpango mzima wa kumshambulia Mh. Lissu. Shambulizi kama lile lilipangwa na uwezekano wa kumhusisha dereva ni mkubwa sana . Sasa wale ambao wako karibu sana na dereva na ambao wangeweza kupanga chochote ndio wanaodai dereva anatibiwa kisaikolojia. Of course kuna watu wanaamini kuwa dereva anakaririshwa mambo atakayojibu polisi pindi atakaporudi Dar es Salaam. Na kama ikionekana haelewi anavyokaririshwa tusishange kusikia dereva kafa huko huko Nairobi au mara tu akiingia TZ. This is TZ.
Haya maharage uliyokula leo usiyarudie tena
 
Back
Top Bottom