Mfadhili paka atakula panya

Mfadhili paka atakula panya

Pole dada,,,,,,
Katika watu ambao si wa kusaidia au kushare nae kila kitu na hata awe kakuoa/ mpnz ni wanaume!!!!!! next time kuwa makini...
 
CYBERTEQ misimu yenyewe ndio hii fulu mafuriko madaraja hakuna mitaa imejaa mahandaki nitegemee nini? nitavuna baada ya muda gani?

Dah, kweli mkuu itachukua muda kuvuna tena, una haki ya kuwa na hasira, pole dadaangu.
 
Pole dada,,,,,,
Katika watu ambao si wa kusaidia au kushare nae kila kitu na hata awe kakuoa/ mpnz ni wanaume!!!!!! next time kuwa makini...

Nadhani itakuwa angalizo kwa wengine. luv you tinna cute
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom