Mfadhili paka atakula panya

Mfadhili paka atakula panya

Kulima tumelima wote, nimepalilia mie, nimeambulia magunzi. hili ni somo tosha kwenye mapenzi never kujitoa 100%. ni hilo tu

Naomba uwe wifi angu basi mavuno yote utapewa plz
Bulldog sitaki uje kuniharibia
 
Last edited by a moderator:
Pole....
Inaumiza ila inasahaulika..take heart,be strong..
 
Pole sana msimu huu mvua za shida, pembejeo za kisasa nazo shida jitahid kulima karibu sehemu yenye rutuba nzuri
 
Pole Sista, forget and move forward hizo ni life challenges. Ushauri wangu usijeku-generalize hio experience itakuletea shida. Pole

asante sana Elli
 
Last edited by a moderator:
Pole. Jipe moyo kuwa mavuno hayakuwa yako, labda Mungu hakupenda ule mavuno yale haba and amekuandalia green pasture somewhere.
Maisha lazima yaendelee, futa kumbukumbu mbaya n move on.
Naandika hapa huku machozi yananilenga coz I know how it hurts.....!

umeona eeh Kim nana
 
Last edited by a moderator:
hasara ni kawaida katika kilimo, subiri msimu ujao uwe makini zaidi dada!

CYBERTEQ misimu yenyewe ndio hii fulu mafuriko madaraja hakuna mitaa imejaa mahandaki nitegemee nini? nitavuna baada ya muda gani?
 
Last edited by a moderator:
funguka zaid dadangu labda kupitia kisa chako kuna watu watajifunza.....

dyuteromaikota nimejitoa kumsaidia mwanaume kiuchumi. tumeneeka lakini mwenzangu kanigeuka anakula mavuno ya jasho langu na vimada. mimi naishia kula vumbi
 
Last edited by a moderator:
Pole sana. Ila hizo ni tabia za watu wachache ambao uelewa wao ni mdogo kwan wakishapata mafanikio wanawasahau waliosababisha hayo mafanikio. Piga moyo konde usijali ipo siku utampata ambaye utalima / kupalilia naye na itakapofika wakati wa mavuno pia utavuna naye. Ukisikia changamoto za maisha ndio ndio kama hizo.

asante emmyta ninavumilia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom