Meya wa Ubungo kufungua kesi ya jinai dhidi ya Paul Makonda kutokana na madai ya kuwa na vyeti feki

Kwani huyo Mbunge ndiye alimwajiri Makonda?
Mwajiri wa Makonda ndiye anapaswa afahamu kwamba huyu ana cheti au hana cheti ili aajiriwe, na huwezi kuajiriwa kama hauna cheti.
Mkuu aliwahi kutamka kuwa wenye vyeti feki wajiondoe wenyewe makazini. Sasa Makonda imethibitishwa ana vyeti feki lakini bado anakomaa madarakani. Nashangaa mijitu humu ilivyo busy kumtetea makonda, huu ni upungufu wa akili katika kiwango cha juu sana
 
Hivi huyo aliyepeleka hilo shauri wewe kwa ufahamu wako unaamini anataarifa za kina kulilo mamlaka za nchi zinazohusika na vetting tena ya nafasi kubwa.kama hiyo..? ...
Sioni kama ni tatizo. Mwisho wa siku, kwa amri ya mahakama, Bashite ataonesha vyeti vyake halisi then huyo Meya ataaibika. Tatizo liko wapi hapo? Mwache aende huko mahakamani, Bashite naye aandae vyeti vyake vilivyofanyiwa vetting then mwisho wa siko atajulikana nani mwongo - Gwajima, Meya, au Bashite.
 
.kwa kuwa Meya sio necta na necta ndio wenye mamlaka ya kutoa vyeti....mtuhumu ataiomba mahakama iiagize necta itoe ushahidi kwa maslahi ya kesi hiyo....ninjambo jepesi tu kama.kesi nyingine
Lkn, nikidhani, kila mtumishi, ana wajibu wa kuwakilisha vyeti, na madodoso yake yote ya kitaaluma, kwa mamlaka zilizomuajiri, na si vinginevyo....
Kama Kuna uhakika kuwa "mtuhumiwa", kagushi, taratibu kisheria, si kumtaka mtuhumiwa atoe vyeti vyake, bali ni kwa mtuhumu kutoa ushahidi wa kuthibitisha tuhuma zake..
..."wanasiasa wetu, na wafuasi wenu, mbona hili jambo ni rahisi sana kulipatia ufumbuzi?"
 
Wewe umeona watu wa dar wanataka vyeti wa Bashite au wanataka maendeleo ? hivi kazi ya Meya kulazimisha RC kuonesha vyeti au kuhudumia wananachi wake ? sifa za kishamba kabisa
Kama unaishi Dar hebu niambie maendeleo yapo katika nyaja gani elimu, afya au kijamii?

Au chochote unachojua wewe tunaweza tukakiita ni maendeleo kwa Dar.
 
Mayor wa Ubungo Mh. Borniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi huyo wa mkoa. Kesi hiyo inatarajiwa kufunguliwa jumatato ijayo ya tar 20/03/2017.

Stay tuned.
Viongozi kama huyu meya ndiyo tunao wahitaji kutuongoza
 
Hivi form IV na VI Mwenyekiti matokeo yake yakoje?? Maana kama.kumbu kumbu zinaonesha kuwa Q.T inahusika .

Hivi Mwenyekiti wa ufipa alipokuwa anaogombea nafasi ya urasi mwaka uleeee alikuwa na elimu gani.?? Maana alitaka kupewa dhamana kubwa sana ya kuongoza Taifa zima na maliasili zake huku elimu yake ikiwa ni ya UPE.
Bob ishu siyo kupata ziro ishu ni kuiba utambulisho wa mtu mwingine na kuutumia kusonga mbele kielimu mpaka kisiasa.

Ingekua ishu ziro si hata Sendeka watu wangemsonga
 
Ndugu Jacob kumbuka wahenga walinena "ukitaka kuanzia mbio sharti uagane na nyonga",

Je umetimiza sharti hilo kabla ya kuanza kupiga jalamba??

Kumbuka kuwa "usianzishe ugomvi wakati unaishi kwenye Nyumba ya vioo".

CC: Mwenyekiti wa ufipa....hivi alihitimu Yale masomo yake ya Q.T aliyotangaza kwenda kusomea ughaibuni..??
Tunahitaji vyeti tuuu
 
Kama ni kweli basi Ubungo haina meya kwa miaka 5....masuala hayo awaachie akina Mbowe yeye ashughulike na matatizo ya wananchi...

Tatizo huyo meya anajipendekeza sana kwa Mwenyekiti wake wa Taifa hadi anatia kinyaa
Tunahitaji vyeti tuuu wacha porojo
 
Kama ni kweli basi Ubungo haina meya kwa miaka 5....masuala hayo awaachie akina Mbowe yeye ashughulike na matatizo ya wananchi...

Tatizo huyo meya anajipendekeza sana kwa Mwenyekiti wake wa Taifa hadi anatia kinyaa
Nijuavyo mimi, kuna wanasheria, hilo la kusema atafungua kesi yeye sidhan kama ni real yeye.
 
Sioni kama ni tatizo. Mwisho wa siku, kwa amri ya mahakama, Bashite ataonesha vyeti vyake halisi then huyo Meya ataaibika. Tatizo liko wapi hapo? Mwache aende huko mahakamani, Bashite naye aandae vyeti vyake vilivyofanyiwa vetting then mwisho wa siko atajulikana nani mwongo - Gwajima, Meya, au Bashite.
Kwahiyo wewe kwa akili na ufahamu wako hata mahakama ikisema alete hivyo vyeti., akili yako inakutuma kuwa nitakuja kubandikwa hapa jukwaani...?? Kwa taarifa yako mamlaka zote zinajua u kweli wa.mambo na ndo.maana Nkaona wana watizama tu mnavyo chachawa kama mna kaangwa kwenye kikaango.

Nasema hivi "kelele za chura hazimzuii tembo kumywa maji" na "vurugu za mende haziangushi kabati". Eti ukahoji mahakamani teuzi anazozifanya mh Rais , kwa mamlaka yapi uliyonayo wewe Jacob?? Au unadhani ndo utateuliwa wewe kushika nafasi hiyo??

Mbona huko hamashauri unakoongoza kuna madudu mengi uliyakuta na.mengine yamefanyika kwa utawala wako hujakimbilia mahakamani kuweka objection. Think twice
 
Hivi form IV na VI Mwenyekiti matokeo yake yakoje?? Maana kama.kumbu kumbu zinaonesha kuwa Q.T inahusika .

Hivi Mwenyekiti wa ufipa alipokuwa anaogombea nafasi ya urasi mwaka uleeee alikuwa na elimu gani.?? Maana alitaka kupewa dhamana kubwa sana ya kuongoza Taifa zima na maliasili zake huku elimu yake ikiwa ni ya UPE.
Tuseme mwenyekiti wao alipata Div 0,lakini si inajulikana hivyo! Na jina lake si ni lile lile.
 
Back
Top Bottom