Meya wa Ubungo kufungua kesi ya jinai dhidi ya Paul Makonda kutokana na madai ya kuwa na vyeti feki

Ndugu Jacob kumbuka wahenga walinena "ukitaka kuanzia mbio sharti uagane na nyonga",

Je umetimiza sharti hilo kabla ya kuanza kupiga jalamba??

Kumbuka kuwa "usianzishe ugomvi wakati unaishi kwenye Nyumba ya vioo".

CC: Mwenyekiti wa ufipa....hivi alihitimu Yale masomo yake ya Q.T aliyotangaza kwenda kusomea ughaibuni..??

Ni mtu mjinga tu ndiye anayeweza kulinganisha kati ya hivyo vitu viwili unalinganisha. Ondoeni unazi usiokuwa na mantiki kwenye hili suala. Failure has never been a forgery. Labda kama uliyem-cc anatumia jina na vyeti ambavyo si vyake.
 
Watanzania kitendo cha kugushi vyeti ni kosa la jinai yeyeto bila kujali ni diwani, mbunge, MKUU wa wilaya , MKUU wa mkoa au Waziri akipatikana Na Hatia anaadhibiwa.Mfano ni Mbunge wa Temeke Bw.Kihiyo alishtakiwa Kwa kugushi vyeti Mahakama ilimwadhibu Kwa kumvua ubunge bila kujali kama anajua kusoma Na kuandika.Sifa ya kujua kusoma ni kuandika ni ya kupata teuzi.Bashite ametumia vyeti feki kusoma
Mkuu Kihiyo alivuliwa ubunge kwa kuonyesha kwenye fomu za ubunge kuwa ana cheti cha ufundi toka Veta wakati hakuwa nacho wala hakuwa amefoji cheti. Kufoji cheti lazima kiwepo kinachobishaniwa! Hata issue ya RC tunasema tu amefoji lakini hakuna hata mtu mmoja ametoa cheti kilichofojiwa. Gwajima alisema atakitoa lakini mpaka leo hajatoa chochote. Sasa wewe labda utusaidie hicho cheti kilichofojiwa kiko wapi??
 
Siyo issue ya ikilu Bali maadili. Kuna waliokuwa wafanyakazi wa umma tena wengine wamekaribia kustaafu wameachwa vibaya kisa vyeti feki.

Makonda atoe vyeti mengine ni porojo !!
sio makonda atoe vyeti, hajaajiriwa kuwalizisha wanasiasa wakimwambia una kibamia basi yeye awaite awavulie pichu waone, hapo atakuwa anafanya kazi kwa kuendeshwa na mihemuko ya hoja
wewe mwenye uhakika na hicho cheti feki weka hata picha za vyeti na hayo majina yaonekane, na uende mahakamani mkamfunge
wanasheria kibao tena manguli ila yapoyapo tu yanalialia magu mtumbue bila hata kuweka hivyo vyeti feki mezani mfyuuuuuuuu....
 
Jambo lolote lenye double standard linakosa maana hata kama nia ni njema. Huyu bw. mdogo Bashite mwanzoni alijulikana DAB mpaka alipohitimu la saba na ushahidi upo kina Khamese waliomleya na hata alikozaliwa na kama ni kijana majina asingelikana majina yote. Huyu alighushi vyeti ili ajiendeleze lakini haiondoi uhalifu wake wa kughushi.

Hebu fikiri huyu anakuwa mtawala wa wasomi kibao hapo mkoani halafu zero argh, inakera.
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Naanzisha Kampeni Mpya,

Tumsifu Yesu Kristu, Milele Amina, Bashite Must Go
Asalaamu Alaikum, Alaikum Salaam, Bashite Must Go
Bwana Yesu asifiwe, Amen, Bashite Must Go
Shikaaamooo Mwaaaaalim, Bashite Must Go

Hii iwe ni salamu ya kudai haki na Usawa Tanzania

Wenye Mabasi kama mnachukizwa na impunity na Double Standard, Bushite Must Go,
Viwanda vinavyotengeneza toilet Paper, kila Kipando cha mkato, Bashite Must Go.
Mnaotengeneza Dawa za Mbu, Kwenye ile mikebe, Bashite must Go, mtauza mpaka mshangae!
Wenye Magazeti Header, Bashite Must Go,
Rap Music, Bashite Must Go
Wanaotengeneza Soli za Viatu kule Chini Bashite Must Go
Door marts, Bashite Must Go!

Watoto wa Vijiweni Tanzania Nzima, Wachoraji wa Grifid Bushite Must Go!

Mpaka kieleweke
 
  • Thanks
Reactions: ovi
 
Attachments

  • FB_IMG_14934440338926181.jpg
    FB_IMG_14934440338926181.jpg
    109.6 KB · Views: 38
Naanzisha Kampeni Mpya,

Tumsifu Yesu Kristu, Milele Amina, Bashite Must Go
Asalaamu Alaikum, Alaikum Salaam, Bashite Must Go
Bwana Yesu asifiwe, Amen, Bashite Must Go
Shikaaamooo Mwaaaaalim, Bashite Must Go

Hii iwe ni salamu ya kudai haki na Usawa Tanzania

Wenye Mabasi kama mnachukizwa na impunity na Double Standard, Bushite Must Go,
Viwanda vinavyotengeneza toilet Paper, kila Kipando cha mkato, Bashite Must Go.
Mnaotengeneza Dawa za Mbu, Kwenye ile mikebe, Bashite must Go, mtauza mpaka mshangae!
Wenye Magazeti Header, Bashite Must Go,
Rap Music, Bashite Must Go
Wanaotengeneza Soli za Viatu kule Chini Bashite Must Go
Door marts, Bashite Must Go!

Watoto wa Vijiweni Tanzania Nzima, Wachoraji wa Grifid Bushite Must Go!

Mpaka kieleweke

Dua la Kuku halimpati mwewe n'goooo
Mwenzenu anachanja mbuga. Mwenye upako ana upako tu hata mfanyeje. GO MAKONDA, GO BOY!
 
Meya wa Ubungo Mh. Boniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi huyo wa mkoa.

Kesi hiyo inatarajiwa kufunguliwa Jumatato ijayo ya tarehe 20/03/2017.

Stay tuned.

---------
Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob amesema Jumanne wiki ijayo atafungua kesi ya jinai dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kutokana na madai ya kuwa na vyeti feki.

Jacob pia amesema, atamshtaki Makonda katika sekretarieti ya maadili ya utumishi wa umma, tume ya haki za binadamu pamoja na utawala bora. Amesema kesi hiyo ambayo itaongozwa na mawakili Tundu Lissu pamoja na Peter Kibatara.

Akafungue kesi hata alfu. Ndicho anachoweza kufanya. Wakati mwenzao anawaokoa walio chini, Kaishiwa na ubunifu wa Makonda, analizoma vumbi lake. Aaa Makonda, unaniacha Hoi dogo!
“Tunachosubiri ni wanasheria wamalize mchakato wa uchaguzi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TSL) na mara watakaporejea kutoka Arusha tutakwenda mahakamani” amesema Jacob.

Chanzo: Mwananchi
 
Back
Top Bottom