namanyele
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,852
- 608
Mkuu aliwahi kutamka kuwa wenye vyeti feki wajiondoe wenyewe makazini. Sasa Makonda imethibitishwa ana vyeti feki lakini bado anakomaa madarakani. Nashangaa mijitu humu ilivyo busy kumtetea makonda, huu ni upungufu wa akili katika kiwango cha juu sanaKwani huyo Mbunge ndiye alimwajiri Makonda?
Mwajiri wa Makonda ndiye anapaswa afahamu kwamba huyu ana cheti au hana cheti ili aajiriwe, na huwezi kuajiriwa kama hauna cheti.