Meya wa Ubungo kufungua kesi ya jinai dhidi ya Paul Makonda kutokana na madai ya kuwa na vyeti feki

Kama ni kweli basi Ubungo haina meya kwa miaka 5....masuala hayo awaachie akina Mbowe yeye ashughulike na matatizo ya wananchi...

Tatizo huyo meya anajipendekeza sana kwa Mwenyekiti wake wa Taifa hadi anatia kinyaa
Hasira za nn?
Mayors, Kusimamia Elimu ni moja ya Kazi zao.
Ni jambo jema muhimu ni kuwa na subira.
 
Mayor wa Ubungo Mh. Borniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi huyo wa mkoa. Kesi hiyo inatarajiwa kufunguliwa jumatato ijayo ya tar 20/03/2017.

Stay tuned.
Kwani huyo Mbunge ndiye alimwajiri Makonda?
Mwajiri wa Makonda ndiye anapaswa afahamu kwamba huyu ana cheti au hana cheti ili aajiriwe, na huwezi kuajiriwa kama hauna cheti.
 
Hivi akili zenu huwa ni za kuvukia barabara ama!!???... MTU anapeleka shauri mahakamani kwa MTU alievunja sheria " Penal Codes" za Tanzania unamuona hafai... Kweli naanza kuamini mnyama pekee kumtawala kirahisi duniani ni mtanzania...



Hili suala la forgery lingekuwa Kenya ungeona na kushuhudia utofauti wa vichwa vya wakenya kama binaadamu na vichwa vya watanzania kama misukule isiyojielewa kama wewe
Hivi huyo aliyepeleka hilo shauri wewe kwa ufahamu wako unaamini anataarifa za kina kulilo mamlaka za nchi zinazohusika na vetting tena ya nafasi kubwa.kama hiyo..?

Damn sorry, it seems that ur brain has already been deadly decomposed, waiting the Margot to accomplish the task ahead.

Kwa taarifa yako hao wenye mamlaka zao wana taarifa jadi za babu na bibi yako huko waliko au walikokuwa.

Wewe ukitaka kuamini hayo ngoja siku moja uingie anga zao ndio watapokuchambua kama karanga mpaka ukabaki mwenyewe unashangaaa kwa namna walivyo na data zako.
 
Boya ni wewe mjinga wa sheria! This is a fit case to be contested!
Mwanasheria nguri wajionesha, acha maneno weka vigungu ueleweke.

Kwangu ni ujuha Mh Meya kurukia suala lililo nje ya mamlaka zake, kama tetesi ni kweli. Maana anayetaka kumburuza mahakamani si mteuliwa wala mwanachuo wake
 
Ndugu Jacob kumbuka wahenga walinena "ukitaka kuanzia mbio sharti uagane na nyonga",

Je umetimiza sharti hilo kabla ya kuanza kupiga jalamba??

Kumbuka kuwa "usianzishe ugomvi wakati unaishi kwenye Nyumba ya vioo".

CC: Mwenyekiti wa ufipa....hivi alihitimu Yale masomo yake ya Q.T aliyotangaza kwenda kusomea ughaibuni..??
Acha upuuzi wewe unadhani Jacob ametumia cheti cha mtu,mwenyekiti alitumia kiti cha MTU,mbona Olesendeka alipata 0 lkn sababu haku fodge cheti haina shida
 
Hivi form IV na VI Mwenyekiti matokeo yake yakoje?? Maana kama.kumbu zinaonesha kuwa Q.T inahusika .

Hivi Mwenyekiti wa ufipa alipokuwa anaogombea nafasi ya urasi mwaka uleeee alikuwa na elimu gani.?? Maana alitaka kupewa dhamana kubwa sana ya kuongoza Taifa zima na maliasili zake huku elimu yake ikiwa ni ya UPE.
Tofautisha kufeli na kutumia cheti cha mtu, kufeli sio tatizo baada ya Bashite kufeli akatumia cheti cha Makonda ni kosa kubwa na ikithibitika anaweza kwenda jela miaka 7.
 
Mayor wa Ubungo Mh. Borniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi huyo wa mkoa. Kesi hiyo inatarajiwa kufunguliwa jumatato ijayo ya tar 20/03/2017.

Stay tuned.
Natoka CALL ME J mniunganishe kwenye kesi hiyo pia nilisoma Pamba SEKONDARI.
 
Bashite boyo sana toka yuko huko uvccm kama ulikuwa hujui
Uboya wa bashite sijui ndio nani haumfanyi huyu jamaa kuacha kuongelea na kufanya vitu vya maendeleo hapa Dar badala yake anadandia mambo ya kitoto yanayobuniwa na watoto kama wewe watu tuko na changamoto za kibao za kimaisha yeye kama meya anatakiwa awe mtari wa mbele kuweza kutatua hayo, unataka kusema watu wa Dar hawana shida wanataka vyeti vya Bashite tu.
 
Wakuu wa shule alizosoma + hospitali aliyozaliwa + kijiji alichozaliwa + wanafunzi aliosoma nao + every evidence watakuwa mashahidi. Hapo chacha, halichachi
 
Huyu Daudi ameshaitwa mahakamani hakufika,

ameitwa bungeni hakufika,

huyu ni untouchable mwana wa mfalme,

....namuona meya aki bounce.
 
Hivi team wema aka ukawa bashite akipigwa chini ndio mtaingia ikulu??
Mbowe na Manji walikwambia it's personal.
Vile vile itakuwa vema kuona jinsi [HASHTAG]#munguwadar[/HASHTAG] anavyothibitisha "his innocence"
 
Wewe umeona watu wa dar wanataka vyeti wa Bashite au wanataka maendeleo ? hivi kazi ya Meya kulazimisha RC kuonesha vyeti au kuhudumia wananachi wake ? sifa za kishamba kabisa
Kama ni kazi watendaji wengi walikuwa eanafanya kazi lkn walipo kosea walichukuliwa hatua,kama akina mama Kilango na Prof,Muhongo
 
Back
Top Bottom