Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Kibosile wa Nairobi, Bw. Geoffrey Majiwa, leo amewekwa mkononi na taasisi ya kuzuia rushwa ya Kenya kwa tuhuma za ufisadi utakanao na kulangua viwanja vya makaburioi kwa walanguzi.
Sakata hili linaweza kumgusa Naibu Waziri Mkuu Wycliffe Mudavadi ambaye vile vile ni Waziri wa serikali za mitaa.
Sakata hili linaweza kumgusa Naibu Waziri Mkuu Wycliffe Mudavadi ambaye vile vile ni Waziri wa serikali za mitaa.