Wakuu,
Kumbe hata Bendera za CHADEMA zinatisha na zitaendelea kuwatisha sana Magamba. Jana Meya wa Manispaa ya Morogoro Mr. Nondo alikuwa awe na kikao na wanamtaa wa Visole ndani ya kata yake ya Boma kuanzia saa 9 alasiri lakini cha ajabu mkutano huo haukuwepo kwa kile kinachoelezwa kwamba aliogopa bendera za CHADEMA zilizotapakaa katika mtaa huo!
Ikumbukwe Meya huyu, alishaandika barua kupitai mkurugenzi wake wa manispaa kupiga Bendera za vyama kupepea katika maeneo ya Umma!!! Pia ikumbukwe anahusishwa na Uvunjajiwa wa jiwe la tawi la Kingstone-Visole,ambapo mbali na uvunjwaji wa mara ya kwanza vijana walijichangisha na kujenga upya, lakini cha kushangaza lilivunjwa tena, Sasa Vijana waliokuwa wamemwandalia maswali ya Nguvu nalo hilo aliliogopa!
Huyu ndiye kiongozi wa madiwani wa CCM Morogoro,Taabu kwelikweli!!
Shalom!