Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Leo tarehe 20/05/2016, muda wa saa sita na nusu mchana, mstahiki meya manispaa ya Kinondoni,ataongoza Jopo la wanasheria wa Manispaa na mawakili waliojitolea, katika MAHAKAMA YA RUFAA, kwenda KUKATA RUFAA KESI ILIYOIPA USHINDI kampuni ya Q-CONSULT LTD chini ya Mwenyekiti wake Yusuph Manji na kuuchukua ufukwe wote wa oysterbay(maarufu kama coco beach)
Tujitokeze kwa wingi kuonyesha umoja wetu na hitaji la msingi la eneo la umma(leo ni siku ya mwisho ya kukata rufaa, tushiriki kwa wingi)
IMETOLEWA
NA OFISI YA MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KINONDONI
Tujitokeze kwa wingi kuonyesha umoja wetu na hitaji la msingi la eneo la umma(leo ni siku ya mwisho ya kukata rufaa, tushiriki kwa wingi)
IMETOLEWA
NA OFISI YA MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KINONDONI