Meya wa Jiji la Arusha amemchoka Godbless Lema?

Meya wa Jiji la Arusha amemchoka Godbless Lema?

Hawa na huyo mkubwa wao wote ni masho--!! Eti "Tangu jana ananiandikia meseji niende kwake!!" hiyo statement ya kipunga kabisa!! Yaani mnamfanya mayor ni punguani amwandikie rais meseji ya kumwita nyumbani kwake? Mwambieni huyo msuKuma aache kuchufulia watu heshima zao! Last time kwenye ziara ya magufuli mlimnyima Lema nafasi ya kuzungumza/kusalimia! Mkampiga na majungu akiwa hapo hapo uwanjani!! Sasa hata ingekuwa ni wewe ungeendelea kuungana na mashetwani ya namna hiyo
Afadhali uwakumbushe kuwa chadema wako tayari kushirikiana na serikali mradi heshima. Rwakatare amehudhiuria mara ngapi na hajashutumiwa na yeyote? Vitu vya kitaifa ccm inavifanya vya kichama. Mfano diwani mmoja tu wa chadema mwanza alikuwa anazuiliwa asikae na madiwani wengine magufuli alipoenda mwanza. Mpaka akafosi huku wengine wakiwa na uniform za kijani. Na Arusha kupandishwa cheo wanajeshi watu wanavaa kijani na kupokea wanachama. Kalist na lema huwezi kuwagombanisha lema alishirikiana sana nag mkuu wa mkoa kabla ya gambo na ikawa tiketi ya kutenguliwa kwake. Ipe Arusha heshima yake, kama huijui nyamaza tu. Narudia tena chadema Iko tayari kushirikiana na Viongozi wa serikali mradi tu wanaheshimiana. Mungu awabariki wasioujua ukweli huu wafunguke.
 
Back
Top Bottom