Meya wa Jiji la Arusha amemchoka Godbless Lema?

Hawa na huyo mkubwa wao wote ni mashoga!! Eti "Tangu jana ananiandikia meseji niende kwake!!" hiyo statement ya kipunga kabisa!! Yaani mnamfanya mayor ni punguani amwandikie rais meseji ya kumwita nyumbani kwake? Mwambieni huyo msuKuma aache kuchufulia watu heshima zao! Last time kwenye ziara ya magufuli mlimnyima Lema nafasi ya kuzungumza/kusalimia! Mkampiga na majungu akiwa hapo hapo uwanjani!! Sasa hata ingekuwa ni wewe ungeendelea kuungana na mashetwani ya namna hiyo
Kideri kimekupanda aisee!
 
Kwa sasa inavyoonekana Meya wa Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA, Calist Lazaro yuko karibu sana kiutendaji na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ukilinganisha na Godbless Lema.

Kauli iliyotolewa na Rais Magufuli kuhusu Meya wa Jiji la Arusha inatoa picha hasi katika mahusiano ya kikazi kati yake na Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema.

Wakati akiongea na wananchi wa viunga vya Mkoa wa Arusha, Rais Magufuli amesikika akisema anampongeza sana Meya wa Jiji la Arusha kwa sababu ni mpenda maendeleo bila kujali utofauti wa itikadi za kisiasa.

Meya Calist Lazaro amekuwa na Rais Magufuli kwenye msafara katika ziara yake mkoani Arusha.

Rais alienda mbali zaidi na kusema alipokea ujumbe kutoka kwa Meya Calist Lazaro ukimuomba amtembelee lakini Rais akamjibu na kumwambia akifanya hivyo atafukuzwa CHADEMA.

Hii inaonyesha baadhi ya watu au wanasiasa wa CHADEMA mkoa wa Arusha wameanza kukaa kando ya siasa za Lema ambazo wanadhani hazina manufaa kwao au wananchi wengi. Wameanza kukubaliana na msemo wa Waingereza unaosema, "If you can't beat them, join them'.

Siasa za Lema ni kutoshirikiana na uongozi wa mkoa na pia Rais Magufuli.

Hii sio hali nzuri kisiasa kwa Lema kwa sababu nguvu zake za kisiasa katika Mkoa wa Arusha zinapunguzwa kadri siku zinavyokwenda.

Kwa sasa ameanza kupata wapinzani ndani ya CHADEMA mkoani Arusha ambao inaonekana watapambana naye kwenye nafasi ya uongozi na ubunge.

Lema hajatambua kuwa mazingira ya siasa katika mkoa wa Arusha yamebadilika na kwa mantiki hiyo kuendelea kufanya siasa zilezile kwa kutumia mbinu zilezile za mwaka 2010 ni kujichimbia kaburi la kisiasa.

Inaonekana wajanja wameanza kumkimbia!

Video kuhusu alichokiongea Rais Magufuli kwa Meya wa Jiji la Arusha.
Ndio hapo tunawaambiaga nyinyi lumumba kuwa akili zenu zimefungiwa lumumba na funguo kazichukua poleoole
 
Za kwenu ziko kwenye kajinyumba ka kupanga Kinondoni na funguo kachikua bi mitusi usa! Kaaazi kweli kweli
 
Kama ndivyo hivyo basi na wamiliki wa CHADEMA wameishajenga dhana kuwa Rais ni adui yao ndiyo maana kila kiongozi wa CHADEMA anapokutana na Rais hupewa onyo kali.

Ninaamini hata huyu Meya wa Jiji la Arusha lazima atapewa onyo kali kwa sababu ya kuhudhuria mkutano wa Rais!
Magufuli ni adui wa watanzania wote ukiwamo hata wewe ila kwa sababu bado unamtumikia na kumuabudu ndio maana unamuona rafiki wa watanzania, siku utaacha kumuabudu na kumshangilia ndio utajua kama huyu ni nyoka kwa watanzania wenye akili timamu za kuhoji na kudadisi juu ya taifa lao
 
Kutafuta umaarufu ndio kosa la aina gani hilo hadi adhabu yao iwe kupigwa mapanga na risasi za moto?
Sio kosa ila ni kosa pale unapotafuta umaarufu kwa njia zisizo halali na kinafiki kama kuudanganya uma fulani au serikali iliyopo madarakani ni fisadi
 
Huu mwenendo wa hii nchi na mambo yote ya kisiasa ameyataka yeye kwa namna ya uongozi wake.

Ben alikuwa mkali na mbabe ila alikuwa anatambua kila mamlaka Kwa nafasi yake.

Huyu anajifanya atambui lolote Kwa nafasi yoyote.

Wacha wamchukie Tu.
 
Kwa sasa inavyoonekana Meya wa Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA, Calist Lazaro yuko karibu sana kiutendaji na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ukilinganisha na Godbless Lema.

Kauli iliyotolewa na Rais Magufuli kuhusu Meya wa Jiji la Arusha inatoa picha hasi katika mahusiano ya kikazi kati yake na Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema.

Wakati akiongea na wananchi wa viunga vya Mkoa wa Arusha, Rais Magufuli amesikika akisema anampongeza sana Meya wa Jiji la Arusha kwa sababu ni mpenda maendeleo bila kujali utofauti wa itikadi za kisiasa.

Meya Calist Lazaro amekuwa na Rais Magufuli kwenye msafara katika ziara yake mkoani Arusha.

Rais alienda mbali zaidi na kusema alipokea ujumbe kutoka kwa Meya Calist Lazaro ukimuomba amtembelee lakini Rais akamjibu na kumwambia akifanya hivyo atafukuzwa CHADEMA.

Hii inaonyesha baadhi ya watu au wanasiasa wa CHADEMA mkoa wa Arusha wameanza kukaa kando ya siasa za Lema ambazo wanadhani hazina manufaa kwao au wananchi wengi. Wameanza kukubaliana na msemo wa Waingereza unaosema, "If you can't beat them, join them'.

Siasa za Lema ni kutoshirikiana na uongozi wa mkoa na pia Rais Magufuli.

Hii sio hali nzuri kisiasa kwa Lema kwa sababu nguvu zake za kisiasa katika Mkoa wa Arusha zinapunguzwa kadri siku zinavyokwenda.

Kwa sasa ameanza kupata wapinzani ndani ya CHADEMA mkoani Arusha ambao inaonekana watapambana naye kwenye nafasi ya uongozi na ubunge.

Lema hajatambua kuwa mazingira ya siasa katika mkoa wa Arusha yamebadilika na kwa mantiki hiyo kuendelea kufanya siasa zilezile kwa kutumia mbinu zilezile za mwaka 2010 ni kujichimbia kaburi la kisiasa.

Inaonekana wajanja wameanza kumkimbia!

Video kuhusu alichokiongea Rais Magufuli kwa Meya wa Jiji la Arusha.

kwa hiyo unataka kusemaje wewe kima?na angeenda kumtembelea tungemfukuza kweli,kwa,sababu haijawahi kutokea nyoka akamtembelea mwanadamu,ina maana wote ni nyoka.
 
Sio kosa ila ni kosa pale unapotafuta umaarufu kwa njia zisizo halali na kinafiki kama kuudanganya uma fulani au serikali iliyopo madarakani ni fisadi
Kwa mujibu wa maneno yako ni kwamba wamefanya makosa ambayo wanastahili kuuliwa kwa mapanga na kushambuliwa kwa silaha za kivita?
 
Back
Top Bottom