Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,835
nenda mahakamani iwapo unaona umekosewaMkuu Meya unarembesha nini ? Huyu si wa kupewa muda , nenda mahakamani jumatatu .
Kumbe RC wa Arusha anaitwa Ambo? Sikuwa najua MkuuAmbo ni mtoto wa Mujini. Hatakuja kumuweza katu
Prince haombi msamahMsamaha Wa Nn?Tangia Lini Prince Wa Nch Kaomba Msamaha?We Nenda Tu Mahakamani Umburuze Hakuna Jinsi
Mkuu wa mkoa anakuwa na madaraka kama rais duhKamburuze tu mahakamani!Wanatumia vibaya madaraka waliyopewa!
Mkuu Meya unarembesha nini ? Huyu si wa kupewa muda , nenda mahakamani jumatatu .
Mkuu , habari za Mbagala Zakhiem .nenda mahakamani iwapo unaona umekosewa
Anamtishia nani nyau si aendeKamburuze tu mahakamani!Wanatumia vibaya madaraka waliyopewa!
Anamtishia nani nyau si aende