Mexico | Estados Unidos Mexicanos

Asante mkuu kwa mada hii kuhusu Mexico,
Kumbe wako vizuri sana katika kutengeneza magari pia.

Namkubali sana Carlos Santana(Maria Maria),jamaa anacharaza gitaa hatari
Vipi huko Mexico wanamchukuliaje?
 
Hakika, asilimia 30% ya magari yanayoonekana Marekani ni uingizaji kutoka Mexico yenye kutengeneza magari chapa zaidi ya 15.

Carlos ni nembo katika muziki na maadhi ya gitaa, salsa, rock na bachata anaheshimika katika eneo lake. Kazi nyingi anafanyia Marekani.
 
Mkuu hujagusia hawa watu kuhusu sifa yao ya matumizi na uuzaji wa 'unga' pamoja na magenge ya uhalifu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mexico ni sehemu ya madawa na njia kuu ya kusambaza duniani kupitia Sinaloa Cartel na peninsula ya California kitongoji cha Sinaloa.

Sinaloa Cartels ambayo zamani ilikuwa ikiongozwa vyema na Joaquin Guzman Loera "El Chapo" aliyezisumbua mamlaka za Mexico, Panama, Colombia, Brazil, Peru na Venezuela.

Hadi Mexico kuomba msaada wa kimataifa kuweza kupambana na El Chapo, aliyezitoroka jela za Mexico na kupelekea kuamishiwa Marekani.
 
Hakika!

Televisa ni kampuni ikiwa na miamvuli ya Televisa, Telemundo, Telenovela, Telesports na nyingine nyingi.

Hahaha California, Arizona, New Mexico na Texas zamani zilikuwa chini ya Mexico kabla ya vita!
It's true naona hata hayo majimbo ya Southern United States mengi yana majina ya Spanish na hata miji yao pia, Los Angeles, San Francisco, Dallas etc.
Wafanye hima warudishe hata moja,Au wanaogopa kutembezewa moto 🤣 🤣🤣🤣🤣
 
Vita ilikuwa zamani sana! Wamesahau na kuendelea na maisha, kumbuka Mexico ni moja ya mataifa 30 kwa ukubwa wa ardhi.

Dunia inaelekea kuwa moja hata wanaokata mipaka hivi karibuni itaondolewa.
 
Hakika!

Televisa ni kampuni ikiwa na miamvuli ya Televisa, Telemundo, Telenovela, Telesports na nyingine nyingi.

Hahaha California, Arizona, New Mexico na Texas zamani zilikuwa chini ya Mexico kabla ya vita!
Alaah, kitu cha muhimu sana hujakizungumza kwenye makala hako ila umekiweka kwenye comments.

Ebu fafanua kidogo vita ilipiganwa mwaka gani na nn kilikuwa chanzo cha vita?

Alafu kwa nn jimbo la California liwe na uchum mkubwa USA , lilichukuliwa likiwa na huo uchumi wake ama wa-usa walilijenga?
 
Vita ya Mexican - American War ilichakatwa mnamo Apr 25, 1846 - Feb 2, 1848 vita hii ya kukata na shoka iliyotokea baada ya Marekani kutaka kuongeza mipaka yake huku Mexico ikitafuta ushawishi kwa Wamarekani kuweza kuamia Mexico.

Vita hii inayotambulika kama "Intervención Estadounidense en México" | "Uvamizi wa Marekani ndani ya Mexico" ilipiganwa kwa ustadi kuanzia maeneo ya Baja California, Alta California na Santa Fe de Nuevo.

Kupitia vita hii katika maeneo ya Alta California na Santa Fe de Nuevo ilipelekea Marekani kutwa maeneo ya Alta California ambayo ndio sehemu ya California na Santa Fe de Nuevo ambayo ni New Mexico na Arizona huku Texas iliyokuwa ikitaka kujitenga kuuamua kuungana na Marekani baada ya ushindi kwa Marekani.

Mexico ikibaki na eneo la Baja California katika uwanda wa California na Peninsula ya California pamoja na hali hiyo bado Mexico hutanabaisha Texas kama eneo lao kutokana na kutokuwepo baraka za kujitenga kwake.
 
Hahahha nimecheka hayo maneno niliyoyabold. Hapo ni sawa na wanaume wawili wanaviziana, wakatunishiana misuli, mnyonge akaliwa.

Mkuu back to Cuba thread, inakuaje marekani awafunge wafungwa wa ugaidi Guantanamo ilihali Cuba na wamarekani ni paka na chui?
 
Jaap, hivyo ndivyo ilivyokuwa.

Nakuja Cuba muda sio mrefu.
 
Mkuu isajorsergio nasubiri ya Peru 🤣

Sawa Drone, maana nilijiuliza nikitoka hapa Toluca nieleke wapi?! Basi nitafika Peru ndani ya siku mbili 😄

IMG 310 Toluca.jpg

IMG 307 Toluca.jpg

Chuo kikuu cha Toluca
 
Back
Top Bottom