isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,125
- 6,250
- Thread starter
- #41
Asante 😉Hizi ndio nondo za kusoma. Asante mleta mada
Asante 😉Hizi ndio nondo za kusoma. Asante mleta mada
Sikua najua muimbaji ni mmexico nilihis nimhaiti. Skuiz hakuna vibe zileAsante mkuu kwa mada hii kuhusu Mexico,
Kumbe wako vizuri sana katika kutengeneza magari pia.
Namkubali sana Carlos Santana(Maria Maria),jamaa anacharaza gitaa hatari
Vipi huko Mexico wanamchukuliaje?
Hakika, asilimia 30% ya magari yanayoonekana Marekani ni uingizaji kutoka Mexico yenye kutengeneza magari chapa zaidi ya 15.Asante mkuu kwa mada hii kuhusu Mexico,
Kumbe wako vizuri sana katika kutengeneza magari pia.
Namkubali sana Carlos Santana(Maria Maria),jamaa anacharaza gitaa hatari
Vipi huko Mexico wanamchukuliaje?
Mexico ni sehemu ya madawa na njia kuu ya kusambaza duniani kupitia Sinaloa Cartel na peninsula ya California kitongoji cha Sinaloa.Mkuu hujagusia hawa watu kuhusu sifa yao ya matumizi na uuzaji wa 'unga' pamoja na magenge ya uhalifu
Sent using Jamii Forums mobile app
It's true naona hata hayo majimbo ya Southern United States mengi yana majina ya Spanish na hata miji yao pia, Los Angeles, San Francisco, Dallas etc.Hakika!
Televisa ni kampuni ikiwa na miamvuli ya Televisa, Telemundo, Telenovela, Telesports na nyingine nyingi.
Hahaha California, Arizona, New Mexico na Texas zamani zilikuwa chini ya Mexico kabla ya vita!
Vita ilikuwa zamani sana! Wamesahau na kuendelea na maisha, kumbuka Mexico ni moja ya mataifa 30 kwa ukubwa wa ardhi.It's true naona hata hayo majimbo ya Southern United States mengi yana majina ya Spanish na hata miji yao pia, Los Angeles, San Francisco, Dallas etc.
Wafanye hima warudishe hata moja,Au wanaogopa kutembezewa moto 🤣 🤣🤣🤣🤣
Alaah, kitu cha muhimu sana hujakizungumza kwenye makala hako ila umekiweka kwenye comments.Hakika!
Televisa ni kampuni ikiwa na miamvuli ya Televisa, Telemundo, Telenovela, Telesports na nyingine nyingi.
Hahaha California, Arizona, New Mexico na Texas zamani zilikuwa chini ya Mexico kabla ya vita!
Vita ya Mexican - American War ilichakatwa mnamo Apr 25, 1846 - Feb 2, 1848 vita hii ya kukata na shoka iliyotokea baada ya Marekani kutaka kuongeza mipaka yake huku Mexico ikitafuta ushawishi kwa Wamarekani kuweza kuamia Mexico.Alaah, kitu cha muhimu sana hujakizungumza kwenye makala hako ila umekiweka kwenye comments.
Ebu fafanua kidogo vita ilipiganwa mwaka gani na nn kilikuwa chanzo cha vita?
Alafu kwa nn jimbo la California liwe na uchum mkubwa USA , lilichukuliwa likiwa na huo uchumi wake ama wa-usa walilijenga?
Eneo zuri sana katika uwanda wa Baja California.Tijuana ni mji mzuri sana...tanzania sijui tulikosea wapi?
Ĉu li estas de tie?La mujer de mi vida
Vita ya Mexican - American War ilichakatwa mnamo Apr 25, 1846 - Feb 2, 1848 vita hii ya kukata na shoka iliyotokea baada ya Marekani kutaka kuongeza mipaka yake huku Mexico ikitafuta ushawishi kwa Wamarekani kuweza kuamia Mexico.
Vita hii inayotambulika kama "Intervención Estadounidense en México" | "Uvamizi wa Marekani ndani ya Mexico" ilipiganwa kwa ustadi kuanzia maeneo ya Baja California, Alta California na Santa Fe de Nuevo.
Kupitia vita hii katika maeneo ya Alta California na Santa Fe de Nuevo ilipelekea Marekani kutwa maeneo ya Alta California ambayo ndio sehemu ya California na Santa Fe de Nuevo ambayo ni New Mexico na Arizona huku Texas iliyokuwa ikitaka kujitenga kuuamua kuungana na Marekani baada ya ushindi kwa Marekani.
Mexico ikibaki na eneo la Baja California katika uwanda wa California na Peninsula ya California pamoja na hali hiyo bado Mexico hutanabaisha Texas kama eneo lao kutokana na kutokuwepo baraka za kujitenga kwake.
Jaap, hivyo ndivyo ilivyokuwa.Hahahha nimecheka hayo maneno niliyoyabold. Hapo ni sawa na wanaume wawili wanaviziana, wakatunishiana misuli, mnyonge akaliwa.
Mkuu back to Cuba thread, inakuaje marekani awafunge wafungwa wa ugaidi Guantanamo ilihali Cuba na wamarekani ni paka na chui?
Jaap, hivyo ndivyo ilivyokuwa.
Nakuja Cuba muda sio mrefu.
Tayari nimeacha maelezo ndani ya Cuba.Waiting....
Mkuu isajorsergio nasubiri ya Peru 🤣
Pamoja boss kuna jamaa huwa ananilingishia na Peru hadi nikajikuta naipenda.Sawa Drone, maana nilijiuliza nikitoka hapa Toluca nieleke wapi?! Basi nitafika Peru ndani ya siku mbili 😄
View attachment 1474390
View attachment 1474393
Chuo kikuu cha Toluca