No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
Kwa mliowahi sikia naomba tuelimishane hii elimu,Nasikia kuna mji upo huko sijui wapi! wachina wanaweza kujenga mji wowote duniani kwa kutumia mabarafu yaani namaanisha unaweza ukaenda ukakuta jiji la DSM pamoja na vichochoro vyake vyote vimejengwa hapo....Ahasanteni.