Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,289
1.Gari la kuvutwa hali overtake. 2.Kisigino hakikai mbele. 3.Mganga haagizi tembele. 4.Wimbo wa taifa haupigwi disco. 5.Feni haiwashwi beach 6.Mshkaki hauchomwi kwa jiko a gesi.
7.Hata bibi alikuwa binti.
8.Mke wa mtu sumu, mume wa mtu maziwa.
9.Kipara bila pesa ni KOVU. 10.Mbwa hanenepi miguu 11.Picha ya Rais haina body guard. 12.Mjini shule kijijini tuition.
13. Saa ya ukutani haivaliwi mkononi.
14.Heshima pesa, shkamoo makelele.
15.Ulinzipesa bastola mzigo. 16.Kuku ni kuku jogoo mbwembwe
17.Kusoma kuelewa kukesha mbwembwe!
18.mdomo hauwekewi vocha
19.mwanaume pesa ndevu hata mbuzi anazo!