Misemo na methali za DSM

Misemo na methali za DSM

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,910
Reaction score
9,347
Methali za siku hizi.
1.Gari la kuvutwa hali overtake.
2.Kisigino hakikai mbele.
3.Mganga haagizi tembele.
4.Wimbo wa taifa haupigwi disco.
5.Feni haiwashwi beach
6.Mshkaki hauchomwi kwa jiko a gesi.
7.Hata bibi alikuwa binti.
8.Mke wa mtu sumu, mume wa mtu maziwa.
9.Kipara bila pesa ni KOVU.
10.Mbwa hanenepi miguu
11.Picha ya Rais haina body guard.
12.Mjini shule kijijini tuition.
13. Saa ya ukutani haivaliwi mkononi.
14.Heshima pesa, shkamoo makelele.
15.Ulinzi pesa bastola mzigo.
16.Kuku ni kuku jogoo mbwembwe
17.Kusoma kuelewa kukesha mbwembwe!


Endeleza na wewe!!ila za red nimezipenda zaidi Jumapili njema.....na Happy Tanganyika

 
Kula CCM, kura CHADEMA
Kifo cha wengi jua mwisho wa mwaka ajali
Ukisikia tato bila, jua Yanga kafa
 
1.Kuku kuku jogoo jina.
2. Kusu chako hakikati usiniharibie nyama
3. Samaki mmoja akioza usimtupe, mtafutie viungo ukaushe.
4.Ukipenda boga, ngoja mwezi wa ramadhani utapata
5. Jambo usilolijua nenda ka google.
6. Kika ndege, hutua airport.
7.Ya Mungu mengi, ya kuku ni mayai.
8. Swagga za ng'ombe azijuae mmasai
9. Aliye juu ameota mabawa
10.Mbio za kitandani huleta ujauzito.
 
Hii nDo imenitoa fizi nje......,
ahaaaa haaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
[QUOTE=KOKUTONA
5. Jambo usilolijua nenda ka google.
 
Mkataa pema....,ameona hakuna posho

mtegemea vya luu....,hufa ka kanumba.

Teda wema......umpate MoND.
 
1.Ukipendwa usipopendwa, ni sawa na kusubiri boat airpot!
2.gogo halisukumwi kwa mkojo
3.mchicha hauzwi buchan
.......
 
biashara asubuhi....... jioni mapenzi
haraka haraka....... huchana condom
mficha uchi ........ nyege humuumbua
mtoto akililia wembe ..... ujue kashaota mavuzi
aliye juu...... anamtia mwenzake
bandu bandu .......... humaliza nyege kiunoni
 
Ukiimuua paka unamwonea...yeye katumwa tu...mchawi binadamu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom