Methali mpya

Methali mpya

Ukitaka kujua nguvu za mlevi mwaga pombe yake!
 
Ukitaka kujua karaha ya daladala kuwepo na foleni
 
hahahaha this is very interesting....miye nachojua methali za kizamni tuu zile za shuleni.....duuh!...
 
hahahaha this is very interesting....miye nachojua methali za kizamni tuu zile za shuleni.....duuh!...
Binti Maringo au Penny01 kwa jina la zamani ndio wewe hapo kwenye avatar yako au? LOL! Let us know our in law please manake he's enjoying
 
Mtaka cha uvunguni sharti ainue kitanda
 
1:ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya
2: Ukweli na Uwazi
 
Back
Top Bottom