Methali, methali

Methali, methali

lwampel

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
249
Reaction score
55
1.Mtoto akililia wembe..ujue kakuwa. 2.Haba na haba... huleta mahaba. 3.Asiyefanya kazi...ale mavi. (Ongezea za kwako)
 
Mtaka cha uvunguni sharti ainame....je? mtaka cha kitandani sharti afanyeje?.
 
zimwi likujualo....halikuli kabisa
usipoziba ufa,,,,,mwizi atachungulia
 
Mwizi apigi hodi.
Vichaa kwao milembe c jf.
 
Simba mwenda pole..iko gonjwa hiyo ..au ha.ni.thi
 
kuchamba kwingi...... kuondoka na ma-v.
mlenga jiwe kundini.......hajui limpataye.
 
Chovya chovya utachovya na kwenye chupa ya acid!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom