METHALI: Enzi za shule ya msingi.

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
46,924
122,192
Kipindi nilipokuwa nasoma shule ya msingi tulikuwa na mtindo wa kukariri methali nyingi na ngumu halafu tunakuwa tunatambiana kwa kuulizana halafu mwingine anakamilisha.
Sasa ilizuka utani wa kubadilisha methali kutoka uhalisia wake na kuwa za utani.

Nakumbuka hizi methali chache hapa.

1. Asiye na mwana azae
2. Ukiona vyaelea vina mabawa
3. Kikulacho kina mdomo.
4. Jungu kuu halikosi utamu.

Ebu na wewe tupia japo methali moja yenye mfano wa kubadili maana kama hizo hapo juu.
 
Back
Top Bottom