Makala hii ya Kiingereza imejibu maswali yote kuhusu hizi monoliths. Wanasema ila ya Utah pengine ilitenengenezwa na mwanasanaa mchonga vyuma ambaye ameshafariki na zilizofuatia ni copy cats na baadhi ya watu wamejitokeza na kukiri kuzitengeneza. Watu pia wamekuwa wakizichimbua na kuziharibu bila madhara yo yote. Ni pranks fulani inaendelea ila kwa watu wa conspiracies bila shaka inaweza kuhusishwa na aliens, illuminati na mengineyo...
We don’t know where the mysterious monoliths come from. But we do know they’re art.
www.vox.com