Metali kubwa ya kisiri yaibuka tena nchini India
Metali kubwa ya kisiri iliyoonekana katika miji 30 hivi kote duniani, hivi sasa imeibuka tena nchini India.
Habari kutoka gazeti la India Today zinasema, metali hiyo ilionekana kwa mara ya kwanza katika bustani moja huko Ahmedabad, India. Metali hiyo ina urefu wa mita 1.82, na imechorwa namba na alama kadhaa.
Wafanyakazi wa bustani hiyo wamesema, hawajui metali hiyo inatoka wapi, pia hawakuona watu walioiweka kwenye bustani.
Habari zinasema, mpaka sasa metali kama hiyo zimeonekana katika miji 30 hivi kote duniani, na mara ya kwanza iligunduliwa huko Utah, Marekani.
Chanzo: CRI Kiswahili
======
Nini kipo nyuma ya haya mapichapicha?