- Thread starter
- #21
Utaelewa tuSijaelewa kitu
Utaelewa tuSijaelewa kitu
Wanapata faida gani kubeba haya madude nchi hadi nchi na kuyachomeka kwenye miji kisha kuja kuyachukua kimyakimya?Kunawatu waliamua kuchimbia na baada ya siku wakalishusha kina. Mchezo huu ni kama ule uliowahi kuchezwa kwa kufyeka majani kwa mtindo wa ajabu.
Wanapata faida gani kubeba haya madude nchi hadi nchi na kuyachomeka kwenye miji kisha kuja kuyachukua kimyakimya?
Wanapata faida gani kubeba haya madude nchi hadi nchi na kuyachomeka kwenye miji kisha kuja kuyachukua kimyakimya?
Wanapata faida gani kubeba haya madude nchi hadi nchi na kuyachomeka kwenye miji kisha kuja kuyachukua kimyakimya?
Metali ndio nini?
Metal kwa Kingereza.Na mm nataka kujua
Ni kama ile aliyowahi kuimba Prof J kwenye zali la Mentali nadhaniMetali ndio nini ndugu?
Kama ile iliyoonekana jimboni Utah, ripoti ya mamlaka ya mji ilisema imepotea kisiri.Huwa yanapotea kimya kimya??
Kisichopitisha au kinachopitisha?Metal kwa Kingereza.
Kitu yabisi kinachopitisha umeme
Mentali ✖️Ni kama ile aliyowahi kuimba Prof J kwenye zali la Mentali nadhani
Mbao sio metali. Haya ongeza kitu kingineKisichopitisha au kinachopitisha?
Mbao haina sifa za metali brotherMbao sio metali. Haya ongeza kitu kingine
Soma vizuri komenti yangu hiyo uliyo ikwotiMbao haina sifa za metali brother
Wasanii tu hawa, wanajaribu kucheza na akili za watu.Mnaouliza metali ni nini, ni madude kama hayo yametokea sehemu tofauti duniani na haijulikani nani kayaweka au yametoka wapiView attachment 1666092View attachment 1666093
Yabisi ni nini?Metal kwa Kingereza.
Kitu yabisi kinachopitisha umeme
Hilo la Utah ambalo ndilo la mwanzo kuwa kituko lilifuatiliwa mpaka dalili kubwa zikaonesha liliwekwa na msanii mmoja aliyekufa miaka kadhaa kabla. Mbali na hivyo kwa vile lilikuwa limetajwa sana kwenye mitandao ya kijamii kuna wajanja wakataka kupata umaarufu na wakalifuata mpaka huko jangwani wakapiga nalo picha na yawezekana wao ndio waliolibeba.Baada ya hapo ndipo wakaingia wasanii mbali mbali maeneo tofauti.Ukitaka kujua kuwa ni usanii na kutafuta umaarufu ni kuwa bado huo mchezo huchezwa kwenye maeneo ya watu wenye pesa walioshiba..Bado sijasikia kuonekana maeneo ya Bahi na Masasi.Kama ile iliyoonekana jimboni Utah, ripoti ya mamlaka ya mji ilisema imepotea kisiri.
Wacongo wamelivunja na kuchoma motoWakuu sasa dude limeibukia kwa jirani yetu Congo..
Nini kipo nyuma ya hili?
Kweli? Kumbuka hicho ni chuma kikubwa sio rahisi kukichoma motoWacongo wamelivunja na kuchoma moto