Metacha Mnata kamaliza lini adhabu ya kadi Nyekundu?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
ufafanuzi tafadhali

Leo hii Metacha anaanzishwa kwenye kikosi dhidi ya Namungo licha ya kwamba alipewa redcard mechi ya prisons, huku sio kukiuka sheria za mpira, au kulikuwa na msamaha?
 
Alipewa nyekundu mechi vs Prisons

1) hakucheza mechi ilofuata ya ligi kmc

2) hakucheza vs Polisi FA

3) mechi dhidi ya Jkt TANZANIA iliahirishwa.

Kwani ilikuwa ni straight red card? Na hachezi mechi ngapi kwa bongo?
 
Kuuliza si ujinga,!

Saa zingine mnatuchosha bure, muwe mnaingia mtandaoni kutafuta kinacho kutatiza kabla ya kuja jf kuuliza.

Soma hiyo kanuni ya ligi kuu 2023

Screenshot_20240308_203901_Adobe Acrobat.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom