Metacha Mnata hapaswi kuwa Yanga, aachwe haraka sana

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
4,008
10,164
Tangu nianze kutazama mechi za yanga, pale golini akikaa Metacha mnata tegemea magoli ya hovyo hovyo, kadi nyekundu au kujifanya anabanwa misuli sijui walimtoa wapi mtu huyu.

Huyu dogo alitugharimu kule ALGERIA pia akapigwa kadi nyekundu siku ya mechi ya Prison huyu bwana mdogo ni majanga.
 
Back
Top Bottom