Messi njoo England angalau wiki tu...

Statistically wachezaji kutoka South America hawawezi kucheza vizuri England, Tatizo ni Cultural Differences; wengi waliokuja huwa wanajisikia wapweke sana na kuwa bored na maisha ya England. Ni wachache sana kama Gilberto Silva na Robinho ambao anagalau walijaribu, ..
 
Ni kweli kwa kiasi fulani, Veron anasema usiku alikuwa anatembea mwenyewe katika barabara za UK kwa upweke sana! Ila kuna wachezaji wanaoweza/walioweza - mcheki Anderson na Da Silva wa Man U; Silvinho aliyekuwa Arsenal, Carlos Tevez wa Man City, Companero na wengine wengi tu!
 
Habari zenu wadau!

Ubishi wa nani unampenda kwenye mpira huwa hauishi kama utafata mapenzi binafsi.....so lets try to speak using relevant records

Leo ukianza kusema Messi(The Flea) aende EPL au Serie A ili aoneshe kweli jamaa yuko juu utakuwa unakosea... Tukianza kuangalia ma contemporary legends kama Ronaldinho, Ronaldo,Zidane, Romario, Rivaldo, etc wote hawa ni malegendary but hawajagusa EPL.

Pia ukisema The Flea hawezi tamba akicheza na timu nyingine za nje ya Spain ni uongo, ameongoza ufungaji wa magoli misimu yote miwili ya UEFA!!!!Asa hapo utaniambia UEFA inachezwa na timu za Spain tu??? na UEFA inayoendelea asa iv ni wa pili after Etoo, anakuja..

Ukisema Messi hawezi tamba bila Xavi na Iniesta ni uongo pia coz 60% percent ya magoli ya Messi ni Solo effort goals, angalia mechi za Barca utaelewa hiyo. Last month amefunga goli against Brazil akiwa na Argentina, kama umeliona lile goli then U will know what I mean. Labda ukiniambia wote wanategemeana hapo ntakuelewa
Na mchezaji yoyote bora ni lazima awe na uwezo wa kuelewana na wachezaji wenzake bila ivo ye hawezi kuwa mchezaji bora..

FIFA wamempa Messi tuzo zote mchezaji anazoweza kupata... so dont tell me wewe unaona na unajua mpira kuliko those guys down there...

Wenger aliwah kusema zaidi ya mara moja Messi ni kama Playstation player...hahahah!!!! Ancelloti akasema Messi is a player with three legs and animal pace....Furgeson akasema No single defender can stop Messi...

So Lazima mtu ujifunze kukubali kipaji cha mchezaji hata kama yuko timu ambayo we huipendi...
Messi has scored against both Man U, Arsenal.

Messi is simply the Best Player on the Planet right now... so deal with it
 
Kwa nini Messi anaperform vizuri akicheza na XAVI/INIESTA/SERGIO akiwa kwao Argentina mchovu tofauti na kina Zidane,Ronaldo,KAKA &Ronaldinho?

MESSI mchovu tu hamfikii hata robo ya uchezaji wa Fabregas, Companero unampamba wakati hata kocha maradona anajua Pale hamna kitu, mchezajigani ameshindwa kuibeba nchi yake, kwangu mimi Bora DIEGO FORLAN mara mia nane kuliko huyo messi wenu.
 
u are welcome muzee..!
Habari zenu wadau!

Ubishi wa nani unampenda kwenye mpira huwa hauishi kama utafata mapenzi binafsi.....so lets try to speak using relevant records

Leo ukianza kusema Messi(The Flea) aende EPL au Serie A ili aoneshe kweli jamaa yuko juu utakuwa unakosea... Tukianza kuangalia ma contemporary legends kama Ronaldinho, Ronaldo,Zidane, Romario, Rivaldo, etc wote hawa ni malegendary but hawajagusa EPL.

Pia ukisema The Flea hawezi tamba akicheza na timu nyingine za nje ya Spain ni uongo, ameongoza ufungaji wa magoli misimu yote miwili ya UEFA!!!!Asa hapo utaniambia UEFA inachezwa na timu za Spain tu??? na UEFA inayoendelea asa iv ni wa pili after Etoo, anakuja..

Ukisema Messi hawezi tamba bila Xavi na Iniesta ni uongo pia coz 60% percent ya magoli ya Messi ni Solo effort goals, angalia mechi za Barca utaelewa hiyo. Last month amefunga goli against Brazil akiwa na Argentina, kama umeliona lile goli then U will know what I mean. Labda ukiniambia wote wanategemeana hapo ntakuelewa
Na mchezaji yoyote bora ni lazima awe na uwezo wa kuelewana na wachezaji wenzake bila ivo ye hawezi kuwa mchezaji bora..

FIFA wamempa Messi tuzo zote mchezaji anazoweza kupata... so dont tell me wewe unaona na unajua mpira kuliko those guys down there...

Wenger aliwah kusema zaidi ya mara moja Messi ni kama Playstation player...hahahah!!!! Ancelloti akasema Messi is a player with three legs and animal pace....Furgeson akasema No single defender can stop Messi...

So Lazima mtu ujifunze kukubali kipaji cha mchezaji hata kama yuko timu ambayo we huipendi...
Messi has scored against both Man U, Arsenal.

Messi is simply the Best Player on the Planet right now... so deal with it
 
Ubora wa mchezaji si lazima upimwe kwa kucheza na kufanya vizuri EPL challenge ziko kila mahali,Messi ni mchezaji anayefikiri haraka sana,he can take advantage of any opportunity kwa beki yeyote ile na hasa akiwa na wachezaji smart kama kina Iniesta,Xavi na wengineo.Ronaldo,Rooney na wengineo hawana uwezo wa kufikiri na ku-make decision za haraka uwanjani kama Messi.....am sorry wapenzi wa Real na Manchester with all due respect kwa Rooney na Ronaldo.
 
ubora wa mchezaji si lazima upimwe kwa kucheza na kufanya vizuri epl challenge ziko kila mahali,messi ni mchezaji anayefikiri haraka sana,he can take advantage of any opportunity kwa beki yeyote ile na hasa akiwa na wachezaji smart kama kina iniesta,xavi na wengineo.ronaldo,rooney na wengineo hawana uwezo wa kufikiri na ku-make decision za haraka uwanjani kama messi.....am sorry wapenzi wa real na manchester with all due respect kwa rooney na ronaldo.
ngoja uone mwezi februari atakavyodhibitiwa na vijana wa arsene wenger hadi atajuta kucheza mpira
 
Form is Temporary Class is Permanent hata akicheza vibaya hiyo mechi moja haimaanishi kwamba he is not one of the best players huwezi uka rate mchezaji kwa mechi moja...... Pia kama nilivyosema lifestyle inachangia sana mtu akiwa happy out of the field atafanya vizuri pia kwenye pitch..... kwahiyo sijui tabia ya Messi huenda akija England kucheza anaweza akawa mpweke itakayopelekea kutokucheza vizuri uwanjani. South Americans are more suited kucheza spain kutokana na culture zao. Watu kama Veron, walipata tabu sana kuadapt maisha ya England
 
Hakuna siku ntafurahi kama Arsenal kuifunga Barcelona na najua wanaweza.Messi anahitaji akili kudhibitiwa,si kwamba hawezi kudhibitiwa...

ngoja uone mwezi februari atakavyodhibitiwa na vijana wa arsene wenger hadi atajuta kucheza mpira
 
swala sio ,messi ni barca,na sijui kimtazamo haswa kama kweli una maanisha kukabwa au kuumizwa mpaka utoe wiki tatu tu kwa nini isiwe msimu mzima?!!hivi kweli kama arsenal,chelsea na man u walikula kichapo!!una maanisha kweli kabisa stoke,west brom man city nk ndo watakomaa sana kwani ni vigezo gani ulivyotumia?!! kama ndo hivyo kama owen,macmanaman,las diara la liga iliwakataa torres,david silva, makelele,xabi alonso EPL iliwakubali basi wachezaji wanaotoka spain wananafasi ya kutamba epl kuliko wa epl kutamba la liga!!!
 
Tatizo la watu hapa ni kwamba ukiondoa ligi ya Tz the only know the EPL. Hawana exposure ya ligi zingine. To them EPL is everything and anyone not playing in the EPL does not deserve to be the best player in the world.

Messi is simply the best at the moment!!
 
Companero said:
Messi ni mchezaji aliyekamilika (complete player). Hana mapungufu.
Upupu. Mchezaji mshambuliaji aliekamilika anapaswa kutumia miguu yote na kichwa katika ufungaji. Huyo Nessi wako anatumia kushoto tu,na ana goli moja la kichwa.
 
Ni kweli kuna watu kama Michelle Platini, walikuwa perfect strikers sababu wanatumia kila kiungo na ni finisher wazuri.... Lakini I would like to think Messi kama mtu anayecheza free role and if we call him a striker lets call him a second striker and not main striker..... kwahiyo ammunition yake ya kufungua defence, na kufanya mabeki wamkabe yeye sana na sio wengine.... hata kama messi angekuwa hafungi goli hata moja bado mchango wake ni mkubwa sana..... Kuna watu kama Alan Shearer, Michael Owen, Ian Rush..... hawa kucheka na nyavu ni kama kawa... lakini hakuna lingine lolote wanalofanya...
 
Habari zenu wadau!

Ubishi wa nani unampenda kwenye mpira huwa hauishi kama utafata mapenzi binafsi.....so lets try to speak using relevant records

Leo ukianza kusema Messi(The Flea) aende EPL au Serie A ili aoneshe kweli jamaa yuko juu utakuwa unakosea... Tukianza kuangalia ma contemporary legends kama Ronaldinho, Ronaldo,Zidane, Romario, Rivaldo, etc wote hawa ni malegendary but hawajagusa EPL.

Pia ukisema The Flea hawezi tamba akicheza na timu nyingine za nje ya Spain ni uongo, ameongoza ufungaji wa magoli misimu yote miwili ya UEFA!!!!Asa hapo utaniambia UEFA inachezwa na timu za Spain tu??? na UEFA inayoendelea asa iv ni wa pili after Etoo, anakuja..

Ukisema Messi hawezi tamba bila Xavi na Iniesta ni uongo pia coz 60% percent ya magoli ya Messi ni Solo effort goals, angalia mechi za Barca utaelewa hiyo. Last month amefunga goli against Brazil akiwa na Argentina, kama umeliona lile goli then U will know what I mean. Labda ukiniambia wote wanategemeana hapo ntakuelewa
Na mchezaji yoyote bora ni lazima awe na uwezo wa kuelewana na wachezaji wenzake bila ivo ye hawezi kuwa mchezaji bora..

FIFA wamempa Messi tuzo zote mchezaji anazoweza kupata... so dont tell me wewe unaona na unajua mpira kuliko those guys down there...

Wenger aliwah kusema zaidi ya mara moja Messi ni kama Playstation player...hahahah!!!! Ancelloti akasema Messi is a player with three legs and animal pace....Furgeson akasema No single defender can stop Messi...

So Lazima mtu ujifunze kukubali kipaji cha mchezaji hata kama yuko timu ambayo we huipendi...
Messi has scored against both Man U, Arsenal.

Messi is simply the Best Player on the Planet right now... so deal with it
Hapo nilipopakuza kaka ni ukweli halisi Xavi na Iniesta ndio wanachangia Messi kuwika,achana na mechi ile ya kirafiki kuwafunga Brazil,wale wana aina moja ya mpira na Brazil haina kukamia mchezaji,sasa ukija timu kama Barca utamkaba nani umuache nani,ukija huku Iniesta atakufunga bao la ufundi Xavi pia,ndio maana mechi vs Real Madrid walimchunga sana Messi mabao wanafunga kina Villa,Pedro,Xavi na Jeffren kwahiyo hapo usibishe Xavi na Iniesta zile mashine na ndizo zinamfanya Messi atambe akihama pale hatawika kama anavyowika sasa
 
Mh! ni kweli Midfield ya Barca ina support sana ma forward wake kushine ila kwa vyovyote vile utakavosema Messi bado anabakia kuwa mchezaji bora duniani kwa sasa
Ukiangalia match nyingi tu za barca unakuta mambo yanakuwa magumu Messi ndo anawabeba wanashinda so twende mbele turudi nyuma bila Messi kuwa bora hata wakina Xavi na Iniesta wacngekuwa na majina makubwa kama walivo nayo leo.

Na pia ujue Messi co Striker anayesubiri kutengewa na wakina Xavi afunge, yule ni Auxillary forward na Winger anatengeneza na kutafuta magoli nadhani kwa hilo liko wazi,

Ukiangalia Stats za leo kule la Liga, Messi na wapili kwa ufungaji na wa kwanza kwa Assists, hapo kwenye assists anaonesha yeye co wa kusubiri apewe bali pia una uwezo mkubwa wa kutengenezea wengine wafunge
 
Companero said:
Messi ni mchezaji aliyekamilika (complete player). Hana mapungufu.
Upupu. Mchezaji mshambuliaji aliekamilika anapaswa kutumia miguu yote na kichwa katika ufungaji. Huyo Nessi wako anatumia kushoto tu,na ana goli moja la kichwa.

Huu ndio upupu plus. The main aim of a striker is to score goals. Sasa kama Messi anatumia mguu mmoja tu kufunga na bado anawazidi wale wanaotumia miguu miwili nani bora? As long as the ball end in the net, it does not matter kama katumia kichwa au miguu. Acheni ushabiki wa kijinga.
 
[QUOTE=Shakazulu;1472854]
Companero said:
Messi ni mchezaji aliyekamilika (complete player). Hana mapungufu.

Huu ndio upupu plus. The main aim of a striker is to score goals. Sasa kama Messi anatumia mguu mmoja tu kufunga na bado anawazidi wale wanaotumia miguu miwili nani bora? As long as the ball end in the net, it does not matter kama katumia kichwa au miguu. Acheni ushabiki wa kijinga.
Ebana big up sana mwana, hebu waeleze hawa watu, eti lazima atumie miguu yote, kwa hiyo mchezaji akiwa anatumia mguu mmoja au mawili ndo kitu kinachomata na co uwezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom