Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 9
- Thread starter
- #21
Humu kuna watu wabishi sana. Yaani watu wanabishana mpaka na makocha wa timu wanazozishabikia. Rejeeni wanayoyasema Maurinho, Fergusson, Wenger na wengineo kuhusu Messi. Halafu kuna wengine wanataka kumfananisha Ronaldo wa ukweli na Ronaldo wa kuchakachuliwa!
Hapa hatuna Mourinho, Ferguson wala Wenger, badala yake tuna GREAT THINKERS, sio GREAT COPIERS. Ukilonga kitu, unatoa na ufafanuzi wa UWEZO WA KU-THINK, sio kukubali tu kwa vile yule na wale wamesema, kwani wewe huwezi kujionea mwenyewe Messi anavyocheza na ukamchambua mpaka usikie Mourinho, Ferguson au Wenger wamesema nini?