Marco Van Basten amponda Messi na kudai ni mchezaji wa kawaida sana

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,902
15,330
Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa timu ya Uholanzi Marco Van Basten amesema Lionel Messi ni mchezaji wa kawaida sana na wala sio mpambanaji kabisa.

Amewataja wachezaji kama Pele, Maradona na Johan Cruyff kama magwiji kamili wa kabumbu duniani.

Van Basten pia amewataja wachezaji wengine kama Michel Platini, Zinedine Zidane na Cristiano Ronaldo kama wanasoka mahiri duniani.

=========

PSG: You're not among three greatest players in history - Van Basten slams Messi​

Dutch legend, Marco van Basten, has hit out at Paris Saint-Germain forward Lionel Messi’s personality, insisting that the Argentina captain is not among the three greatest players in history.

Van Basten believes Messi is not a warrior, adding that the likes of Pele, late Diego Maradona and Johan Cruyff are ahead of the seven-time Ballon d’Or winner.

According to him, the former Barcelona captain is not the one who puts himself at the front to go to war.

“Pele, [Diego] Maradona and [Johan] Cruyff are for me the three greatest players in history,” Van Basten told France Football.

“As a kid, I wanted to be like Cruyff. He was my friend. I miss him. Pele and Maradona were also incredible.

“Messi is also a great player, but Maradona always had more personality in a team. Messi is not the one who puts himself at the front to go to war.”

Van Basten also revealed other players who also deserve to be among the best.

“I’m not forgetting Cristiano Ronaldo, [Michel] Platini or [Zinedine] Zidane,” he added.

Daily Post
 
Ni wivu wake tu unamsumbua.
Sote tunajua toka kuwepo kwa mchezo wa soka ulimwenguni hajawahi kutokea kiumbe aliyeweza kufikia kiwango cha mafanikio ya Messi.

Angalia hichi kitu, halafu tafuta wa kumfananisha na Messi kwenye Soka.
1. Kanyanyua World Cup
2. Kanyanyua Copa America
3. Kanyanyua Olimpic
4. Kanyanyua UEFA champion legue (Mara nne)
5. Ana Ballon d'Or (Mara Saba)
6. Kanyanyua ubingwa wa Laliga (Mara kumi)
7. Kanyanyua ubingwa wa ligi ya Ufaransa (Mara moja)
 
Alafu mleta post unatuletea mambo ya msimu wa 2021/2022, Van Basten alisema mwaka 2022 June, kipindi ambacho Messi alistruggle msimu wake wa kwanza akiwa PSG.
MLETA MADA UNAONEKANA NI SHABIKI WA CR7 NA HUFATILII, YAANI NA WASIWASI NA UWEZO WAKO WA KIFIKRA.
 
Ni wivu wake tu unamsumbua.
Sote tunajua toka kuwepo kwa mchezo wa soka ulimwenguni hajawahi kutokea kiumbe aliyeweza kufikia kiwango cha mafanikio ya Messi.

Angalia hichi kitu, halafu tafuta wa kumfananisha na Messi kwenye Soka.
1. Kanyanyua World Cup
2. Kanyanyua Copa America
3. Kanyanyua Olimpic
4. Kanyanyua UEFA champion legue (Mara nne)
5. Ana Ballon d'Or (Mara Saba)
6. Kanyanyua ubingwa wa Laliga (Mara kumi)
7. Kanyanyua ubingwa wa ligi ya Ufaransa (Mara moja)
PELÈ ukiwekewa alivyoshinda utachoka mkuu.
 
8.kanyanyua World Cup u/20
9.klabu bingwa ya dunia (mara tatu)
10. Mchezaji bora wa mashindano kombe la dunia (mara mbili 2014/2022)
 
Ni wivu wake tu unamsumbua.
Sote tunajua toka kuwepo kwa mchezo wa soka ulimwenguni hajawahi kutokea kiumbe aliyeweza kufikia kiwango cha mafanikio ya Messi.

Angalia hichi kitu, halafu tafuta wa kumfananisha na Messi kwenye Soka.
1. Kanyanyua World Cup
2. Kanyanyua Copa America
3. Kanyanyua Olimpic
4. Kanyanyua UEFA champion legue (Mara nne)
5. Ana Ballon d'Or (Mara Saba)
6. Kanyanyua ubingwa wa Laliga (Mara kumi)
7. Kanyanyua ubingwa wa ligi ya Ufaransa (Mara moja)
Na bado kuna mjinga ataibuka na kuongea upumbavu.mbon yeye hakuvunja mpaka anastaafu
 
Back
Top Bottom