Messi moto; Aweka rekodi mpya UCL

Messi moto; Aweka rekodi mpya UCL

Endeleeni na siasa zenu lakini msisahau kuangalia game kwenye TV zenu, burudani imehamia Switzerland leo. Los blancos wanampiga mtu nyingi nyumbani kwake leo.

#Hala_Madrid!

braza acha unazi nmegundua unazi ndio unakusumbua sio kingine

simchukii cr7 i appreciate anachofanya transformation yake

ila messi ni pure talent anacheza Mpira effortless
 
CR7 kazaliwa 1985 na Messi kazaliwa 1987.

CR7 alianza kucheza 1st team msimu wa 2002/03 Sporting Cp ya ureno akiwa na miaka 17 na Mesi alianza msimu wa 2004/5 pale Barcelona akiwa na miaka 17.

Katika club zote alizopitia CR7 yani Sporting Cp, Man United na Madrid, ametupia jumla ya goli 294 katka miaka 10 ya kucheza soka na Messi katupia goli 253 pale Barcelona katika miaka yake 10 ya kucheza soka.

Hayo magoli waliyofunga ni katka mechi za ligi tu.

Hivyo ukiamua nani mkali kwa kuangalia mwenye goli nyingi CR7 ni superior kwa Messi. Maana ametupia goli za kutosha, alafu alipoteza msimu wa kwanza kwenye timu isiyo na mbele wala nyuma Sporting CP tofauti na Messi aliyekua kazungukwa na Mafundi kama Gaucho na Deco.

NB: Asante Google kwa hizo data.

Analysis yako iko biased! Hujazungumzia kwa miaka 2 aliyotangulia CR7 Mess angekuwa na magoli mangapi.
 
braza acha unazi nmegundua unazi ndio unakusumbua sio kingine

simchukii cr7 i appreciate anachofanya transformation yake

ila messi ni pure talent anacheza Mpira effortless

Mimi sio fan wa somebody one! Napenda Real Madrid hasta la muerte. Lakini nina uhakika Christiano Ronaldo hata akiondoka kesho kwenda Liverpool, he'll still be doing the same as he's doing now in Real Madrid. Lakini sina uhakika wa hili kwa Messi. Just a daught!
 
Haha braza ure funny now kwann messi ashindwe shine kwingine

unaanza kuwa mtabiri

mbna cr7 kashindwa transform club goalscoring form yake kwenye internationals??

bottom line messi he's setting standard for cr7
 
Hapo kwenye red sijakuelewa. Ukisema international sijakuelewa, mechi iliyochezwa Anfield kati Real Madrid na Liverpool goli la kwanza lilifungwa na CR7.
Na last match ya Portugal ilikuwa against Armenia kwenye kuogombea kufuzu EURO 2016. Goli pekee kwenye mechi hiyo lilikuwa la Christiano Ronaldo.
 
Champions League goals by the age of 27:
[74] Messi
[48] Raúl
[44] Ronaldo
 
Champions League goals by the age of 27:
[74] Messi
[48] Raúl
[44] Ronaldo
Messi_infografic_74.v1416994048.jpg 10831827_800913756650479_1281270023_n.jpg 10808988_579234868876480_1503459271_n.jpg
 
Endeleeni na siasa zenu lakini msisahau kuangalia game kwenye TV zenu, burudani imehamia Switzerland leo. Los blancos wanampiga mtu nyingi nyumbani kwake leo.

#Hala_Madrid!

dude...that's was so wiggy!!!

what a narrow win eventually
 
Record Gani ambayo Messi ameweka na Ronaldo akavunja, ila uliza Rekod ambazo Messi kaweka na Ronaldo hajavunja.

..Mesi hajawahi kuzifunga timu zote za La Liga
..Mesi hajawahi kufunga magoli 17 UCL katka msimu mmoja
 
Analysis yako iko biased! Hujazungumzia kwa miaka 2 aliyotangulia CR7 Mess angekuwa na magoli mangapi.

CR7 alikuwa na goli 10, 3 alifunga alipokua Sporting Cp na 7 msimu wake wa kwanza Man U.
 
dude...that's was so wiggy!!!

what a narrow win eventually

Ndio football ilivyo watu8. Wakati mwingine matokeo yanakuwa tofauti na matarajio ya wengi. Basel has played with a system and a spirit with more intensity than the previous game kwasababu wako nyumbani na game ya jana ilikuwa muhimu sana kwao.
Hata hivyo life in Real Madrid still awesome, we're on top of the group in UCL, we qualified as group leaders and we're on top of the la liga table too.
 
..Mesi hajawahi kuzifunga timu zote za La Liga
..Mesi hajawahi kufunga magoli 17 UCL katka msimu mmoja

Unaonekana hata hufuatilii lolote kwa taarifa yako messi ndie mchezaji wa mwanzo alie zifunga timu zote za laliga katika msimu mmoja
 
..Mesi hajawahi kuzifunga timu zote za La Liga
..Mesi hajawahi kufunga magoli 17 UCL katka msimu mmoja

Pole sana, kumbe bado wewe ni mchanga sana kwenye soka na mbaya zaidi hufatilii
 
Wakongwe wa soka chebi na ALEYN vipi na kuhusu kufunga goli 17 za UCL katka msimu mmoja, Messi alishawahi kufanya hivyo? Wakongwe nielekezeni, mana mi nimeanza kufuatilia soka msimu uliopita.
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa furaha kwa spain timu zake zote 4 kushinda wakati ni kilio kwa ujerumani timu zake 4 zote kufungwa ktk ucl wiki hii,england liverpool imeangusha,zote 3 zilishinda,happy birthday kwa Xabi Alonso Olano juzi j4(25 novemba) kafunga goli kwa timu yake ya bayern munichna katoa bao la pili kwa man city la kusawazisha
 
mkuu SEMBO umeona hapo kwa season ni ronaldo ndiye top score . na nafikiri umeona hapo record aliyoeweka messi top score kwa season 4 mfululizo top score from 2008-2012 hakuna mpaka sasa aliekua kwa mara nne zilizofatana c.ronaldo ni x2 tu sijui mwaka huu umenielewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom